Expert Member Unalipwa au[emoji848][emoji848] Vyeo vingine sio vya kujisifia kabisaa, Mimi Ni member mtiifu nipo humu toka 2016 ww wa 2017 unaanza kujiproud ata Kama una uexpert but chunga kauli zako huenda umepata uexpert kwa kupost na kucomment ujinga ujinga tu na hizo tabia za kidada unazo wewe kuingilia visivyokuhusu mi nilimwongelea Lexus SUV Kuna thread zake niliziona Humu JF last year akiongelea maswala ya mkopo na alisema anasoma UD hivyo alihitaji kujua jinsi anavyoweza pata mkopo japo wa mwaka mmoja that means huenda haikuwa bahati yake kupata mkopo wa heslb last year but now dirisha tayari limefungwa ila anasema yeye hajamaliza kuomba mkop Kama alivyocomment hapo juu [emoji24][emoji24][emoji24]Ndo Mana nikajiuliza labda anasoma koz gani hiyo ambayo huenda sio priority heslb coz hakuna ubaya wa kujua mtu anasomea Nini au kuuliza mtu anasomea nini JF Ni jukwaa huru Don't panic and think great mzee wa expert [emoji1787][emoji1787] usijisifu kuwa expert akat Ni low thinker wengine Ni undergraduator ikiwemo Mimi na tunaaply vyuo mwaka huu tungepaswa kujua kutoka kwake na Angepaswa anijibu yeye sio wewe shombe shombe dume Zima kujiita shombe [emoji849][emoji849][emoji23][emoji23] usinitaftie ban la mwaka mzima[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Pambana na Hali yako