Recent content by Nyamwaga

  1. N

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Lakairo wapigwa nusura kufa kule Shirati

    Huyo Si aliwahi kusema hagombei tena Ubunge sasa imekuaje anagombea tena? Au ameona umbunge unamsaidia kufanya magendo toka Kenya?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nyambari Nyangwile Mbunge bubu mjengoni

    Tarime vijijini Mbunge atakuwa Hechei tu. Nyambari hana chake mwaka huu.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kishimba avuta fomu kugombea ubunge Kahama

    Alisha wahi kukwepa kulipa kodi katika kampuni yake ya KITCO na baadaye kuibadili kuwa IMALASEKO . Hivyo ni mkwepa kodi mkubwa sana na ni Fisadi Papa
  4. N

    JamiiForums Tanzania CCM kumtembeza Magufuli Mikoani kwa kutumia ndege ya Serikali ni Sahihi?

    Huyu Nepi anahitaji Maombezi makubwa ili aondolewe mapepo
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa mabasi ya J4 apiga wawili kwa risasi

    Kuna kesi wameiacha ya kuuzia jamaa mercury feki yaTsh.9,000,000/- Wakishirikiana polisi wawili.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wenje anafanya mkutano Nyamagana

    Kwa kweli hii ni ushahidi kuwa Mwanza hawaitaki ccm mafisadi kabisa. Huu umati ni nyomi
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa mabasi ya J4 apiga wawili kwa risasi

    Hao marehemu walikuwa ni matapeli wakubwa hapa jijini Mwanza acha wapumuzike huko Ahela kwa maumivu. Kwaza wamekufa wakiwa na kesi (file) nyingi Police zaidi ya sita.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kauli mbiu ya Dr. Magufuli

    Linda mali ya kikwete
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya Manispaa na Halmashauri?

    Muulize mzee wa kulia Bungeni (Mfalme wa nyuki)
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM yaichambua Ilani yake 2015-2020; Kupitisha majina matano Urais

    Inakuwaje Mtume afananishwe na Fisadi? Ndugu zetu Waislamu angalieni sana jambo hili kwa makini. Iko siku Madabida atamfananisha na ng...........
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ni ofisi gani ya Serikali uliwahi kupatiwa huduma mbovu na majibu ya dharau?

    Polisina na ofisi za Ardhi
  12. N

    JamiiForums Tanzania Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

    Msitu wa Mabwepande
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kinana kufunga barabara jijini Mwanza. Je, ni haki?

    Ccm ni kama kuku aliye kwisha katwa kichwa kiwiliwili kikadai bado hakijafa
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kinana kufunga barabara jijini Mwanza. Je, ni haki?

    Hii ni kuonyesha kuwa mwisho wa ccm unakarbia na ndo maana wanaanza ubabe wa kihitler
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kinana kufunga barabara jijini Mwanza. Je, ni haki?

    Muda huu kumetokea msongomano wa magari barabara ya nyerere road kisa huyu katibu mkuu wa ccm akipita na polisi ( traffic) kufunga barabara, huku ikifahamika kuwa kinana ni katibu wa chama si wa kiserikali. Je huu ni usitaarabu kila kiongozi wa ccm kuleta adha kwa wananchi?.
Back
Top Bottom