Kishimba avuta fomu kugombea ubunge Kahama

Joined
Jul 20, 2015
Posts
15
Reaction score
15
Mfanya biashara maarufu nchini Tanzania na nje ya nchi..Mzee kishimba,ameamua kurudi nyumbani kwao kahama kuwania ubunge jimbo la kahama mjini,ambalo liko ndani ya Manispaa ya kahama.Kishimba anasifika kwa umahiri mkubwa wa kufanya biashara ndani na nje ya nchi..jambo ambalo limewasitua wanakahama wengi ni pamoja na kishimba kuchukua form...wanasema,"hivi hawa wafanya biashara wameona siasa ndio kichaka cha kujifichia?"mmoja wazee alisema.Pia kishimba alishawahi kugombania jimbo Msalala na Emmanuel Kipole kushinda kinyang'anyiro hicho cha ubunge.Jambo jingine ambalo linamtia doa Kishimba ni kile kitendo alichokifanya kipindi cha ukame cha kuwazuia wanakijiji wa kata ya Nzongomera kuchota maji kwenye visima vyake.kitendo ambacho aliwanyanyasa akina Mama na watoto kutembea umbali mrefu kufaata maji..mzee mmoja ambaye ni Baba mdogo wa Mzee kishimba anasema," hatuwezi kumpa kura mtu ambaye alitunyima maji ya kunywa..yeye na hela zake aende zake".hiyo ni kauli ya wazee wenyeji wa hapa mjini.Hivyo kishimba tunaomba utafakari kwani huwezi kutuongoza!
 
Huyu Kishimba is the most wanted FUGITIVE!

Anatafutwa na Polisi baada ya kuuwa wananchi katika meli yake ya Juliana.

Ina maana PolisiCCM imemfumbia macho kwasababu anagombea kwa tiketi ya CCM?
 
yule jamaa wa umoja wa vijana mwanza aliyetuhumiwa kumtoa uhai kesi iliishaje? maana ilimfanya akimbilie zimbabwe
 
kahama,bunda,ilemela,nyamagana,ukerewe,geita,musoma,tarime,rorya,maswa,
ni za peopleeeeez
 
Alisha wahi kukwepa kulipa kodi katika kampuni yake ya KITCO na baadaye kuibadili kuwa IMALASEKO . Hivyo ni mkwepa kodi mkubwa sana na ni Fisadi Papa
 
Mfanya biashara maarufu nchini Tanzania na nje ya nchi..Mzee kishimba,ameamua kurudi nyumbani kwao kahama kuwania ubunge jimbo la kahama mjini,ambalo liko ndani ya Manispaa ya kahama.Kishimba anasifika kwa umahiri mkubwa wa kufanya biashara ndani na nje ya nchi..jambo ambalo limewasitua wanakahama wengi ni pamoja na kishimba kuchukua form...wanasema,"hivi hawa wafanya biashara wameona siasa ndio kichaka cha kujifichia?"mmoja wazee alisema.Pia kishimba alishawahi kugombania jimbo Msalala na Emmanuel Kipole kushinda kinyang'anyiro hicho cha ubunge.Jambo jingine ambalo linamtia doa Kishimba ni kile kitendo alichokifanya kipindi cha ukame cha kuwazuia wanakijiji wa kata ya Nzongomera kuchota maji kwenye visima vyake.kitendo ambacho aliwanyanyasa akina Mama na watoto kutembea umbali mrefu kufaata maji..mzee mmoja ambaye ni Baba mdogo wa Mzee kishimba anasema," hatuwezi kumpa kura mtu ambaye alitunyima maji ya kunywa..yeye na hela zake aende zake".hiyo ni kauli ya wazee wenyeji wa hapa mjini.Hivyo kishimba tunaomba utafakari kwani huwezi kutuongoza!

Huyu Kishimba si kuna arrest warrant ya Mahakama ktk kesi ya mauaji ya meli yake Ziwa Victoria akakimbilia Zimbabwe huyu" leo karudi kugombea kwa CCM? Ama kweli magamba kichaka cha waovu
 
Sasa nimejua kwa nini Lembeli katoka baruti

Yaap.. Lembeli ametoka baruti kwa kuwa alishajua ccm kimetekwa na kuwa ni chama cha mafisadi na wafanya biashara.. Wafanyabiashara ambao wanataka kulitumia bunge kama platform ya kupiga biashara zao..
 
Wewe Kishimba unayemuelezea unamjua au unamsikia tu, Mzee anashinda kilaini sana tule.
 
Hana jipya atakalo lileta bungeni.... ni walewale tu darasa la saba.... wanao jibu ndiyooooooooooo...... anataka kukuza biashara zake kupitia siasa kwa sasa ana hali ngumu kibiashara....
 
Hongera Sana J4 Kishimba......Emmanuel Kipole amechukua fomu msalala kwa maige?
 
Mfanya biashara maarufu nchini Tanzania na nje ya nchi..Mzee kishimba,ameamua kurudi nyumbani kwao kahama kuwania ubunge jimbo la kahama mjini,ambalo liko ndani ya Manispaa ya kahama.Kishimba anasifika kwa umahiri mkubwa wa kufanya biashara ndani na nje ya nchi..jambo ambalo limewasitua wanakahama wengi ni pamoja na kishimba kuchukua form...wanasema,"hivi hawa wafanya biashara wameona siasa ndio kichaka cha kujifichia?"mmoja wazee alisema.Pia kishimba alishawahi kugombania jimbo Msalala na Emmanuel Kipole kushinda kinyang'anyiro hicho cha ubunge.Jambo jingine ambalo linamtia doa Kishimba ni kile kitendo alichokifanya kipindi cha ukame cha kuwazuia wanakijiji wa kata ya Nzongomera kuchota maji kwenye visima vyake.kitendo ambacho aliwanyanyasa akina Mama na watoto kutembea umbali mrefu kufaata maji..mzee mmoja ambaye ni Baba mdogo wa Mzee kishimba anasema," hatuwezi kumpa kura mtu ambaye alitunyima maji ya kunywa..yeye na hela zake aende zake".hiyo ni kauli ya wazee wenyeji wa hapa mjini.Hivyo kishimba tunaomba utafakari kwani huwezi kutuongoza!
Mbona huu uzi wa Jumanne kishimba upo hapa kitambo!!? Uzi wenyewe huu hapa→
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=13342583
Hawezi kushinda huyo mbele ya James Lembeli. Anaweza kushinda kura za maoni za ccm kwa sababu ana pesa,lkn hawezi kushinda ubunge.
 
Back
Top Bottom