Recent content by nyamva

  1. nyamva

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Jibu lake moja Tu UTAPIGIWA SIMU!!!
  2. nyamva

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Ni kweli sina task yoyote kwenye mfumo nilijaribu pia kuwasilianavna mkuu WA KITUO kinachosoma sasa Jibu alilonipa ni mpaka aone barua sasa nimebaki MTU Kati huku nkmeambiwa nitapigiwa simu kibali CHANGU kikikamilika
  3. nyamva

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kibali kimewekwa kina MUDA sasa ni tangu 27.08.2026 ila nilienda Halmashauri yangu nikiwa nimedownload nakala mbili kama nilivoelekezwa na wazoefu Jibu nililopewa ni kuwa utaratibu sio hivyo wewe subiria tutakupigia simu na Uhamisho wangu ni wakutoka Halmashauri ya pembrzoni kwenda jiji ambapo...
  4. nyamva

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hatimaye nimeona kibali kwenye ess yangu ila changamoto nimeenda wilayan kufuatilia naambiwa kibali hakijafika nisubiri!!!,KITUO CHA KAZI KIMESHABADILIKA NA HATA ORGANIZATION IMESHABADILIKA!!. SCORE NI 0!!! NA TASK HAKUNA HATA MOJA!!!JAPO MWAKANI NATARAJI KUPANDA DARAJA,NIKO NJIA PANDA!!,MI NI...
  5. nyamva

    JamiiForums Tanzania Nirejeshee mziki wangu

    Salaam alyeikum wandugu, mimi ni mpenzi wa mziki kiujumla. Niko Mkoa wa Mwanza ,sasa hivi Karibuni nilinunua sound bar ya JBL Wat 500 nimeitumia miezi 8 Tu Ile bar ikawa inakata Moto. Nimeipeleka Kwa fundi kifupi anasema haitengenezeki!!! Sasa nimekuja mbele yenu kikiwa na maombi yafuatayo; 1...
  6. nyamva

    JamiiForums Tanzania Lusajo Mwaikenda una nini? ni lazima amuumize Pacome

    Ulitaka aumizwe na FOBA?
  7. nyamva

    JamiiForums Tanzania Mashujaa 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika | 1 November, 2024

    Wewe ni mpuuzi
  8. nyamva

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

    Kanawa sec 2002-2005 wazee WA kudondoa nawakumbuka Sana walikuwa wananuita kamotion Luzugumo filbert,mnaku obeid,mandazi masangu,gungulugwa lukulu,Eliza jijongo,nuru Abbas mbua namtafuta Sana hadi Leo nikimpata anakuwa mchepuko wangu😂😂😂😂
  9. nyamva

    JamiiForums Tanzania Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

  10. nyamva

    JamiiForums Tanzania Kwa hakika jana ni siku ambayo mpira wa Afrika umepoteza mvuto Duniani kote.

    Chura atafutaye huruma maskini
  11. nyamva

    JamiiForums Tanzania Nimegundua idadi kubwa ya Watanzania au Africa tumetumia camera moja kuangalia shuti la Ki Aziz

    Ikiletwa image ya kwenye corner flag ndo nitacoment
  12. nyamva

    JamiiForums Tanzania Wachezaji watatu bora kuwahi kucheza Yanga SC

    Na Konkoni?
  13. nyamva

    JamiiForums Tanzania TFF na bodi ya ligi mnapokalia kimya huu utumbo unaofanywa na marefa ni dhahiri kuwa mmetoa baraka zote

    Kwani kuangalia kwako Nani ananufaika? Tunawajua wenye Akili wewe kichwa ni funiko la shingo Tu hilo
  14. nyamva

    JamiiForums Tanzania Sitasahau siku niliyofungiwa Mshahara

    Marangu TC hapo mbwa wewe
Back
Top Bottom