Umetukanwa wapi[emoji1787][emoji1787]bora uache nilishaona mapema hili goma haliendiSipendi kutukanwa na vitoto vya juzi.SIANDIKA TENA.its Over
Haha,boss mbona kama unafosi kama vile lazima haha, umenifurahisha! ila kweli ka deviate kidogo kwenye madaUjinga, tueleze ulifungiwaje mshahara kama kichwa cha habari kinavojieleza mambo ya ulikutana na msichana hajapima ndio vinini?
Tuna mambo mengi ya kufanya mkuu eleza jambo lako tusome tuendelee na mambo mengine
[emoji23][emoji23][emoji23]Bila shaka nyie ndio aina ya walimu ambao huwa mnapitisha ma box ya kura feki.
Aione Mpwayungu Village kwenye jalada.
Wajinga jinga tu hawa, takatakaTicha anazngua nilitegemea awe na emotional intelligence na digrii zake mbili anazila kisa wajinga wachache wamem-challenge kidogo tu.
Ngoja aje Mpwayungu Village akupe za uso
Kenge mwenyeweMaticha most of them wanazira zira sana
Hata huyo KENGE mpwayungu village aliuzira Uzi wake wa Safari ya Lindi