Recent content by Nyamtajanyalwa

  1. N

    SoC04 Mfumo wa Madaraka Tanzania

    Tanzania ni nchi inayotambulika kama nchi ambayo inafuata misingi ya kidemokrasia africa na duniani,ni jambo la kupongezwa na kuendelezwa pia kulindwa vizazi na vizazi Uongozi na viongozi wamekuwa wakipatikana kwa njia ya kuchaguliwa na kuteuliwa, suala la kuchaguliwa halina mashaka wala shida...
  2. N

    SoC04 Machozi yake nani anayajali?

    Mtoto huyu, aliye katika jamii kwa sasa hajui nani amwamini nani asimwamini,mtoto huyu hana pa kukimbilia, si baba,si mjomba, si kaka, si babu, sio mwalimu, si kiongozi wa dini, sio binamu, mtoto huyu anateseka, mtoto huyu wa tanzania hana pa kushika,hakuna anayemtetea kwa dhati, mtoto wa...
  3. N

    SoC04 Nani amtetee Raia kutokana na unyanyasaji wanaofanyiwa na vyombo vya ulinzi na usalama?

    Tanzania ni nchi salama yenye hali nzuri ki siasa, kijamii na kiusalama, lakini kama watanzania ama mtanzania napenda kusimama kuzungumza na kushauri mambo kadhaa hasa yanayohusu vyombo vyetu vya ulinzi na usalama polisi na jeshi. Polisi na Jeshi katika utaratibu wao wa kufanya kazi ni nani...
  4. N

    Dawa hii inayumika kama sumu ya panya. Je, ni salama kwa matumizi ya binadamu?

    Ndungu zangu mm nimefika katika jukwaa hili ili niweze kutoa hili jambo ambalo binafsi limenitisha naomba kupata majibu kwa wataalamu, kuna dawa ya kutuliza maumivu kwa jina INDOSINE (si mtaalamu katika kuandika majina ya madawa). Dawa hii imekuwa ikitumika kama sumu ya panya, na mimi binafsi...
  5. N

    Naomba kufahamu uwezo wa jicho kuona

    Nimekuwa nikijiuliza, Uwezo wa jicho kuona ni megapixel ngapi kama utalinganisha na kamera tunazotumka katika vifaa mbalimbali kama vile simu, ningependa kuelewa hilo.
  6. N

    Serikali yatoa ufafanuzi madai ya Uwanja wa Mkapa kutia aibu kwa uchafu

    Majibu sijayaelewa, huyo mzabuni hadi kwenye pitch ya kuchezea au yeye ni masuala ya usafi wa uwanja tu, maana hadi leo naona hizo nyasi bandia zimechoka balaa, au mzabuni hajapaona au TFF au bodi ya ligi au sirikali yenyewe tu?
  7. N

    TANZIA Mwalimu Alex Kashasha, mchambuzi nguli wa Soka afariki dunia

    Nina ndoto ya kuja kuwa kama yeye nipo njiani kutimiza hilo, R.I.P
  8. N

    Blogger Lumbuye is not above the law, says Minister Oryem

    watu wa blog hii ni vile hamuwez kuajili watu wa kutafsiri lugha kuwa kiswahili ili watu waelewe au ni utovu wa kuelewa???
  9. N

    IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

    🤣🤣🤣WAANDAMANE TU SISI TUKO BIZE NA BUNGE LA TOZO ZA MIAMALA, MAANDAMANO TUWAACHIE,KINA HECHE,MNYIKA,NA WENGINEO WASIOJIPENDA🤣🤣🤣
  10. N

    Askari JWTZ Arusha amuua mfugaji kwa risasi

    kwa niwazavyo ,huyo mwanajeshi ataachiwa kwasababu zifuatazo. 1. kama eneo lilikuwa na mgogoro baina ya wafugaji na jeshi ,ina maanisha huyo mfugaji kama ninavyowafahamu tena wa kimasai alitaka kumshambulia huyo mjeshi na katika kujihami mjeshi akafyatua risasi kujihami ila halikuwa lengo kuua...
  11. N

    Kama Mahari ni asante kwa Wazazi, kwanini Wazazi wa Mwanaume hawapewi?

    kwani sisi hatuendi kuwa wasaidizi wa mwanamke na istoshe tunaenda kuwataftia wajukuu zao hao upande wa mwanamke pia, kwa maoni yangu hii kitu iwe 50/50.
  12. N

    Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

    dah, 😂😂hivi kumbe hawa watu walikuwa wamejinyamazisha tu, huku wakiona nchi inavyoenda kombo, dah, watu wasaliti kinyama😂😂😂,hata siku 21 hazijaisha washaanza kwenda kinyume nae😢😢😢
  13. N

    Kauli za wanawake wakiwa na hasira zatajwa kuwa sababu ya wanaume kupima DNA

    mimi tumegombana na mke wangu ,tukatengana, mamaake mzazi (mama mkwe wangu)akanitamkia kuwa yule mtoto sio wangu anababaake, dah, hapo ni baada ya kugoma kutoa matumizi ya laki 2 kwa mwezi, yani mtoto anamiaka 2.
Back
Top Bottom