Recent content by Nyampemba

  1. Nyampemba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana: Tabia ya kutongozwa huku wanakata majani ipo?

    It's their defense mechanisms
  2. Nyampemba

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mh. Rais kuzungumza lugha ya kabila lake katika mkutano wa hadhara?

    Yupo sahihi kwani katika msimbo wa Isimu Jamii niliyojifunza katika chuo cha Kikatoriki Mwenge ni halali kabisa lengo ni kutaka kuwateka anaowahutubia.
  3. Nyampemba

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya Tanzania vyafanya vibaya kwenye Takwimu za kimataifa

    Vigezo vipi hutumika kujua vyuo bora?
  4. Nyampemba

    JamiiForums Tanzania Mapumziko ya maulidi ni lini?

    Mngeni rasmi nani?
  5. Nyampemba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Nipo tumia namba hii 0655182731
  6. Nyampemba

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa kihistoria uliopo kati ya TUCTA na CCM. Ni ngumu sana TUCTA kumtetea mfanyakazi.

    Devide and role policy are used here
  7. Nyampemba

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa tuition physics na mathematics anahitajika

    Nipo 0655182731
  8. Nyampemba

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha Katibu Mkuu-Utumishi kujiuzulu

    Serikali ilikua na siku nyingi haikanushi...
  9. Nyampemba

    JamiiForums Tanzania John Heche: Kesi yenye dhamana inawezekana vipi kunyimwa dhamana?

    Hilo ni tatizo la sheria zinazopangwa na watu. Sheria hizo hupangwa kwa kuangalia maslahi ya wenye nafasi ya kuzipanga. Hii inatokana na nature ya nafsi ya mwanadamu kuvutia kwake.
  10. Nyampemba

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Maneno yanayosemwa mtaani, kwamba hali ya uchumi ni mbaya yanaenezwa na wapiga dili

    Tatizo la uchumi wa kibepari ni kua takwimu za kiuchumi huangaliwa kwa watu wachache ambao kiukweli ndiyo wanaomiriki uchumi . hivyo hiyo taarifa ya Hugo alotoa ni ya mezani kiukweli hali ni ngumu hata wao wanajua .
  11. Nyampemba

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Binafsi aliyeipa ule wimbo kama yupo anafaa kusifiwa kwani alichoimba ndicho kinachojiri. Ubunifu wake umeakisi nchi hii kwa sasa
  12. Nyampemba

    JamiiForums Tanzania Baba sikiliza kilio cha wanao

    Chanzo ni wenye kauli
  13. Nyampemba

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Majengo Tanzania: Marufuku kutumia simu za Mikononi muda wa kazi kuanzia Januari 2017

    Kwani tatizo la watanzania ni matumizi ya simu kazini?
  14. Nyampemba

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua ushawishi wa kanisa katoliki katika utawala na usalama wa dunia

    Mfumo Wa maisha wao ndiyo unaoongoza dunia kwa kushirikiana na Ubepari ambao ndio unaoongoza dunia kwa sasa. Kwa kiasi kikubwa kanisa linashirikiana sana na mabepari kwa kuwa kanisa lenyewe linajikita katika masuala ya ibada tu hali ya kuwa mambo mengine ni kuwaachia mabepari.
Back
Top Bottom