Recent content by NYAMALAWA

  1. NYAMALAWA

    JamiiForums Tanzania Nina pesa nataka kubadilishana na gari

    NJOO IRINGA NIKUPE NISSAN XTRAIL ILA INATAKIWA UBADILISHE CONTROL BOX
  2. NYAMALAWA

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kijana wa Kupika Chips

    Tatzo hamtaki kurekebishwa mkikosea.utajifunza lini wewe?
  3. NYAMALAWA

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kijana wa Kupika Chips

    Huwezipata kijana wa dizaini hiyo kwasabu CHIPSI hazipikwi
  4. NYAMALAWA

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba Iringa mjini

    Kiwe self contained,maeneo ya kihesa kilolo,ngome au tumaini,maji na umeme n lazima
  5. NYAMALAWA

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy s 4

    Unayo bei gani?
  6. NYAMALAWA

    JamiiForums Tanzania Pata bajaji za tvs king na pikipiki za haojue kwa bei rahisi kuliko kote tz!!!

    Mmeanza vibaya,penetration price kwa bidhaa mpya tena mchna 2M? Angalien wenzenu juz tu wameingza pkpk mpya aina ya hero from india af n ya ukwel kuliko at bm150 wanauza 1.75M tu
  7. NYAMALAWA

    JamiiForums Tanzania Nafashi za Kazi ya Sales

    Wanahitajika wasichana wawili tu, umri kuanzia miaka 18-25 wenye uzoefu na mambo ya kutembeza na kuuza bidhaa maeneo mbalimbali hapa Dar. Malipo ni kwa kamisheni,yaani utakavyouza sana ndo utapata sana. Kwa maelezo zaidi PM
  8. NYAMALAWA

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kamera ya galaxy s2

    Anaeweza kunisaidia .kamera ya simu yangu galaxy s2 haionekani vzuri ipo kama na ukungu.yaani haina mng'ao ule wa kawaida.
  9. NYAMALAWA

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mpango wa biashara

    Wakuu habari zenu wanajf. Naomba mwenye format ya business plan ilioandikwa kwa kiswahili anisaidie tafadhali
  10. NYAMALAWA

    JamiiForums Tanzania Nauza galaxy pocket

    Nauza simu tajwa hapo juu imetumika miez 8 tu,110,000/=
  11. NYAMALAWA

    JamiiForums Tanzania Natafuta noah hapa Dar

    Pm kwa maelezo zaidi
  12. NYAMALAWA

    JamiiForums Tanzania Natafuta noah hapa Dar

    Kwa mwenye gari tajwa hapo juu anauza,iwe kwenye hali nzuri,tuwasiliane budget yangu ni 5m
  13. NYAMALAWA

    JamiiForums Tanzania Natamani Niache Kazi

    Pole kaka,nimefanya kaz ya kuajiriwa kama mhasibu kwa mwaka m1 hakuna nlichofanikiwa zaid ya kulipa kodi na kununua tv.mwezi wa 1 nimefanya MAAMUZI MAGUMU ya kuacha kazi.nimeachana na utumwa wa kisasa na vyeo vya kijinga ofisini. Nafanya ujasiriamali wangu kwa kutumia mda kdogo then kpato cha...
  14. NYAMALAWA

    JamiiForums Tanzania HTC Verizon na Huawei

    Ipokoyoko hebu nchek hapa 0762091812 tufanye Kazi
Back
Top Bottom