NYAMALAWA Member Joined May 3, 2012 Posts 90 Reaction score 17 Mar 26, 2014 #1 Wanahitajika wasichana wawili tu, umri kuanzia miaka 18-25 wenye uzoefu na mambo ya kutembeza na kuuza bidhaa maeneo mbalimbali hapa Dar. Malipo ni kwa kamisheni,yaani utakavyouza sana ndo utapata sana. Kwa maelezo zaidi PM
Wanahitajika wasichana wawili tu, umri kuanzia miaka 18-25 wenye uzoefu na mambo ya kutembeza na kuuza bidhaa maeneo mbalimbali hapa Dar. Malipo ni kwa kamisheni,yaani utakavyouza sana ndo utapata sana. Kwa maelezo zaidi PM
Ambassador JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 933 Reaction score 77 Mar 26, 2014 #2 Kuembeza bidhaa gani?