Nina pesa nataka kubadilishana na gari

TEAM VIBAJAJI

JF-Expert Member
Oct 9, 2016
1,858
2,295
Wakuu nisiwachoshe ninapesa nahitaji gari bajeti kuanzia 10m na isizidi 15m kulingana na gari itakayopatikana mwenye nayo aje pm
 
Jamani niliyoipata inaonekana jamaa wanataka kuniingiza king tumekubaliana kesho nikalipie lakini jamaa anataka nimtangulizie 2m kabla ya kwenda nimemuona msanii hivyo utafutaji unaendelea
 
Back
Top Bottom