Recent content by NYALUJOYA

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Kiukweli binafsi namuona Nyerere kuwa kiongozi bora na MTU mzuri mtoa mada amejikita katika kulaumu uongozi wake,kwangu Mimi wakati anatoka madarakani nilikuwa na miaka 3,hiyo sijaona uongozi wake,kupitia historia niliosoma juu ya tawala mbalimbali zilizo tawala Taifa letu, inampa mtazamo mbaya...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

  3. N

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika sasa umefika tubadilishe wimbo wetu wa taifa

    hoja ninzuri lakini Tunasisita upendo na umoja wa wanaafrika ,mtunzi ni mwafrika na nchi zote za Afrika lazima tumuenzi kwani maudhii take ni mazurir
  4. N

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Rai Mwema na Dr. Magufuli

    Fanya hima tujuwe maana nipo kijijini hakuna magazeti
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mahakama kuu Arusha yamvua ubunge Onesmo Ole Nangole (CHADEMA), yaamuru uchaguzi urudiwe

    kunani tena huko !?Nampa pole sana
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe ktk historia huko Iran na pilika pilika zao

    duu jamani kama mna hoja na historian iliokamilika ndiyo muweke sio vipande vifupi na havileti maana
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ally Kessy ataka mbwa, mbuzi, kuku, ng'ombe, baiskeli zilipiwe kodi

    Mimi sijaelewa hivi wabunge wanalipa kodi katka posho wapewazo!? maana taarifa inasema watalipa kodi kiinua mgongo na sio posho na mishahara yao ,kwa mujibu wa sheria walioipitisha iliwapa msamaha wa kutokulipa kodi .Naomba kueleweshwa.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Godbles Lema video: Nimemmis sana Kikwete

    haaaahaa inamaana God Lema anamiss chai ya ikulu !?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vyatakiwa Kurejesha Gharama za Uchaguzi kwa mwaka 2015

    nihaki na wajibu kufanya hivyo ilikulinda utawala bora kuanzia ngazi ya vyama
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania yajitoa polepole Afrika Mashariki!

    Cha msingi mr. Pombe ametuomba tumuombee kwa mungu hivyo yote anayofanya nimoja kati ya majibu ya maombi yetu kwa mungu kama kweli tunamuombea mungu atalizidishia taifa letu neema. Mungu ibariki tanzania na mrinde rais wetu dhidi ya wasio ipenda nchi na mafisadi
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete kushika fagio Chalinze, wengine vipi? Tupeane updates za hili zoezi

    Nivyema itungwe sheria kamili itakayo tamka siku maalumu ya usafi kwani elimu yetu haikidhi kuwaelimisha kizazi juu ya umuhimu wa usafi,tuludi enzi ya mwl matamko kama "mtu ni afya,afya ni uhai nk" licha ya vyuo vikuu kuwa nvingi bado fikra za usafi miongoni mwa wananchi ni finyu sana.
  12. N

    JamiiForums Tanzania #WhatWouldMagufuliDo: Upepo wa Rais wa Bongo wavuma Ughaibuni

    Good!!!!!! Thus Why He Ask Tanzanian To Pray For Him. GOD BLESS TANZANIA,GOD BLESS OUR BELOVED PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFURI.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

    Naunga Mkono Hoja Yako Maana Namkumbuka Mwl Wangu Wa History Mwaka 2002 Makongo Sekondari Ndani Ya Kipindi Chake Nanukuu " Waajiri Na Matajiri Ni Mashetani Maana Hawapo Tayari Kufanya Kazi Kwa Hasara Na Nilazima Waibe Na Kunyonya Wengine" Maneno Hayo Yalisemwa Kwa Lugha Ya Kiingereza Hii Ni...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Vigogo muhimu wamsaliti Lowassa. Wamo Bashe, Serukamba na Kapuya

    Hoja si usaliti bali nikuvumilia makali ya demokrasia
Back
Top Bottom