Recent content by nyaluhande

  1. N

    Road Safety: Stika za Nenda kwa Usalama ni wizi, tuungane kuupinga

    Ubinafsishaji ndo sera, huo ni mwendelezo tu mkuu. Kesho subiri gereza binafsi you pay before. Ila huduma utapata tv gazeti vitabu vyakula customer service ya juu and no virungu.
  2. N

    Mwalimu Nyerere vs Thabita Siwale

    Mkuu hao waliomaliza f4 walilazimika kwenda kubanana kwenye high school chache za seminary hata km hawakutaka, wengine walijiunga na shule za binafsi ila kuna wengi walilazimika kutafuta vyuo mbalimbali. Ila yote hayo sbb ya wakubwa km huyu mama wameropoka. Too sad.
  3. N

    Jifunze English tenses kwa Kiswahili

    Achilia mbali children. Between hutumika kwa watu au vitu viwili. Kama watoto ni wengi tumia AMONG
  4. N

    Toyota laver 4 inauzwa

    Chenge umetokota hata kucopy herufi 5 tu kwenye gari unayouza umeshindwa??? Wakuu beware of conmen
  5. N

    Hakijaeleweka Open University

    We nyata maelezo nusu nusu hayafai. Umechaguliwa kufanywa nini. Na unachengwa kitu gani. Nenda ofisi ya utawala toa shida yako na kama ni kazi wameandika maelezo yote yafuate maana kila kitu na mipangilio yake
  6. N

    Mwalimu Nyerere vs Thabita Siwale

    Roho mbaya ya huyu mama ni ya asili. Aliwahi kuropoka amri mwaka 1982 wakati akiwa waziri. Alisema eti seminary si secondary za kawaida hivyo alizuia wote waliomaliza f 4 seminary wasiendelee f5 kwenye shule za serikari na watu wakaumizwa kirahisi . Wkt huo shule zilikuwa chache ajabu hasa high...
  7. N

    Ukistaajabu ya Parking Mlimani City, utayaona ya Kwenye Mabenki, Bar n.k

    Sayaka na Nyaluhande kama ni ndugu vile. Muulize mzazi wako atatusaidia
  8. N

    Ukistaajabu ya Parking Mlimani City, utayaona ya Kwenye Mabenki, Bar n.k

    Hapa naona maluweluwe tu . Kwanza kuna tabaka la wenye nacho na wasiokuwa nacho. Afu wanaokula na wanaoliwa na kwa mbali bado naona wenye akili na wasiokuwa nazo. Wamecapitalize kwenye ukimya wa mtanzania akiwa analiwa na sasa wanafikiri wanaokiwa wote hawana akili. Bandugu tujipange ili...
  9. N

    Ukistaajabu ya Parking Mlimani City, utayaona ya Kwenye Mabenki, Bar n.k

    Shark umeongea mawazo yangu. Tanzania inapelekwa vibaya miradi ya baadhi ya watu ndo inatusumbua. Inabidi watu tuwe na umoja tuhoji na tukatae mambo mengine. Nahisi kuna mkurugenzi katoa wazo kuwa wateja wa mlimani city na baa nyingi hawakosi chenji ndo maana wameweka ujinga wao kila sehemu...
  10. N

    Jihadharini na Wanaume mashoga wapo sana Jamiiforums

    Mara nyingi anayetongoza ndo anayemega. Sasa wewe tueleze ukweli. Usitufichefiche
  11. N

    Kuanzia leo, biashara ya bar imeniogopesha

    Ni kweli pombe hukolea vizuri zaidi kama kuna huduma ya michangu mistaarabu
  12. N

    Gardner amkana jaydee kweupe

    Hayo nayo makubwa, baada yakuvuliwa tishet ataomba avuliwe na trouser afu atajikuta anavuliwa utu wake na mtu tusiyemjua
Back
Top Bottom