Recent content by NYALENGO

  1. NYALENGO

    Polisi Tanzania wamtaka Mwamposa kujisalimisha

    Wanawake Mungu Wa Kweli awahurumie na kuwaokoa, maana mmekuwa mitaji ya manambii Wa uwongo. .......rejea idadi ya waliofariki. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. NYALENGO

    Joseph Roman Selasini (MB): Naibu Spika; Kufuru uliyofanya dhidi ya Ukristo haivumiliki

    Kwa mambo haya aliyoyafanya sidhani kama Mungu atamruhusu aendelee kufanya siasa.
  3. NYALENGO

    Binadamu katoka wapi?

    Binadamu aliumbwa na Mungu kwa kutumia udongo. Ushahidi wake upo wazi saana. Angalieni idadi kubwa ya wanawake wajawazito Mara nyingi hupenda kutafuna udongo wawapo katika hali hiyo na wanapokaribia kujifungua huacha. Hii hudhihirisha kuwa udongo ni malighafi muhimu ktk uumbaji Wa kiumbe kipya...
  4. NYALENGO

    Mheshimiwa sana, mfikirie Ndugu Mtatiro ukuu wa Wilaya Tunduru ikikupendeza!

    Mtatiro kwa sasa anasaidia kuipa CCM real-direction. Akimaliza tutampa hata u-RC.
  5. NYALENGO

    Utata Utekelezwaji wa Agizo la Ndugai Kumhusu Masele

    Ndugai anatakiwa aachie kiti kwa manufaa mapana ya taifa letu.
  6. NYALENGO

    Hivi Madaktari hamna njia mbadala ya kupima njia ya uzazi ya mama mjamzito?

    Wivu mwingine hauna hata maana, kama mwanamke ushamtia mimba tayari, na ulifurahi saana siku aliyokwambia Nina mimba. Na unajua kuwa Daktari lazima achunguze afya ya mama mjamzito kwa usalama Wa mama na mtoto aliyepo tumboni. Lakini bado unaona Daktari anafaidi kuingiza mkono. Ukweli ni kwamba...
  7. NYALENGO

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Amos Makalla. DC wa Tunduru, Juma Homera ateuliwa kuwa RC mpya

    Awamu hii tutaona mengi, kwangu Mimi Makalla ni kiongozi makini saana tena mwanadiplomasia, yupo makini sana kwenye maamzi yake. Lakini Leo kapigwa chini, daaa hii ni shida!
  8. NYALENGO

    Kesi ya kina Mbowe: Kibatala amuweka kwenye kona Mkuu wa Upelelezi

    Sisi ambao hatusoma sheria, tunapopitia dondoo kama hizi kuna vitu tunajifunza.
  9. NYALENGO

    Mume wangu anatembea na mdogo wangu

    Desturi yetu ni kuwa 'Mdogo wako akikipenda kitu chako ni vizuri kumwachia'. Hivyo nakushauri umwachie huyo mme, wewe anza kuganga upya naamini Mungu hatokuacha uendelee kuwa mpweke, na ukizingatia una ajira. Na huo ndo upendo kwa Mdogo wako.
  10. NYALENGO

    Kafara za ngono

    Uhalisia video ni fake na walioiandaa wana target zao. Wakati mwingine ni vema ukafanya utafiti yakinifu ili kubaini uhalisia Wa jambo.
  11. NYALENGO

    Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

    Leo hii kuna video ya ngono ina-trendi, ajabu mitandao iliyo mingi imejielekeza kuijadili video hiyo, na kuacha mambo ya msingi. Kama vile kujadili hatima ya Mdude. Lakini pia tukio muhimu la kuagwa kwa mwili wa R. Mengi, mtu muhimu kwa uchumi Wa tz. Tulipaswa tuibue hoja kwa namna gani mwenzetu...
  12. NYALENGO

    Zitto: Nimeshangazwa na kusikitishwa polisi kumkamata Mbunge nje ya Bunge ikiwa ni kinyume cha sheria

    Bunge ni taasisi ambayo ina kiongozi wake (spika), polisi wakimhitaji mbunge yeyote lazima wapate idhini kutoka kwa spika. Ambapo, pia spika atatakiwa kumjulisha mbunge juu ya Kuhitajika kwake polisi. Tabia ya kuviziana haileti Picha nzuri.
  13. NYALENGO

    Tanzania hatuko serious kama huyu ndo mnasema kuwa awe Rais ajaye

    Mkuu, wewe unamfikiria nani?, maana ume-challenge mawazo ya wenzako, lakini hujatoa mawazo yako!
  14. NYALENGO

    Mbunge Upendo Pendeza: Dady's girl

    Mkuu naona ipo shida eee!, huyo ni mke Wa David Kafulila - RAS Wa mkoa Wa Songwe kwa sasa.
  15. NYALENGO

    Arusha: Ajichinja hadi kufa kutokana na mgogoro baina ya wake zake

    Wanaume ebu tukumbushane mwanamke si ndugu, na unapojitoa uhai kisa mgogoro na mke ni kuisaliti nafsi yako pia umewasaliti ndugu zako wa damu. Ebu tuweni na msimamo wanaume na tuuthamini uhai wetu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom