Recent content by Nyakitagara

  1. Nyakitagara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

    Password zote usaficha nini?Ndoa ni kuaminiana.
  2. Nyakitagara

    JamiiForums Tanzania Misafara inatutesa hasa wa Rais

    Kweli aisee
  3. Nyakitagara

    JamiiForums Tanzania Misafara inatutesa hasa wa Rais

    Tupo safarini tunatoka Mbeya tunakaribia kuingia Mikumi tumesimamishwa kwasababu Rais anatoka Ifakara na bado hajatoka huko Ifakara. Viongozi wa Afrika mnatesa watu wenu.
  4. Nyakitagara

    JamiiForums Tanzania Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Wapi naweza kupata hsti mafisadi ya louver kama kuna sehemu yanapatikana naomba muongozo.Asante
  5. Nyakitagara

    JamiiForums Tanzania Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Nashukuru
  6. Nyakitagara

    JamiiForums Tanzania Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Asante sana
  7. Nyakitagara

    JamiiForums Tanzania Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Mtaalamu hivi hakuna madirisha mengine tofauti na aluminium..Maana naona kama kwa dar yanabana sana hewa.Ukiachana na mbao kwani ni gharama.pia pvc naonba Ushauri wako.
  8. Nyakitagara

    JamiiForums Tanzania Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Habari Mkuu,naomba ushauri ya kiwanda kipi cha hapa nyumbani kinatoa tiles nzuri..Au kampuni gani unashauri.
  9. Nyakitagara

    JamiiForums Tanzania Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Unataka la kilugha au kiswahili.?
  10. Nyakitagara

    JamiiForums Tanzania Suala la mipango miji ndo imetushinda kabisa waafrika.

    Inasikitisha,wakati hawa viongozi wakiweka mikakati na kila mtu akafanya kazi yake mafanikio yapo.Rushwa imeua nchi yetu.
  11. Nyakitagara

    JamiiForums Tanzania Sikio linachimbika : PICHA Msaada mwenye kujua tiba

    Dawa nzuri hiyo ya kupaka imenisaidia hata mimi
  12. Nyakitagara

    JamiiForums Tanzania Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Asante kwa elimu,natamani ningekufahamu mapema ungenisaidia sana
  13. Nyakitagara

    JamiiForums Tanzania Mimi baba wa watoto watatu ratiba yangu ya asubuhi na jioni

    Wewe ni mwanaume wa kuigwa,Mungu akujalie usibadile hata kidogo.Sikujua men like you exist.
  14. Nyakitagara

    JamiiForums Tanzania Ungependa kiongozi gani aje Jukwaani kutoa majibu na ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayoendelea nchini?

    Mimi naomba aje Tundu Lisu na Mbowe huwa ni wasema ukweli kwa vitu vikivyojificha maana serikali yetu sikivu haina majibu ina propaganda tu.
  15. Nyakitagara

    JamiiForums Tanzania COVID 19 iliyotufanya tuwahudumie wapendwa wetu kama wanyama, unapitisha chakula chini ya mlango kukwepa maambukizo. Tunamshukuru Mungu

    Imerudi naumwa kichwa balaa. Mungu anisaidie maana sitaki kuwaambukiza familia yangu.
Back
Top Bottom