Mzee ana mvuto huyu jamani tuacha utani nyota inawaka sana hakuna aliyetangaziwa kuwa anakuja lakini watu kibao mpaka mabomu ya machozi .sio siri i like this guy so much God blessing him.
Hoja gani utajibiwa na wakati we mwenyewe hujui ulichokiandika kichwa cha habari tofauti na mada kabisa hatuna muda wa kupoteza nyie ni wale wale vibaraka wa bk 7 na suku hizi mnazipata kwa shida kweli maana mkuu anabana matumizi kweli naomba ujitahidi sana kufanya kazi kwa bidii acha umbea we...
Mh lowasa lowasa lowasa atawatoa roho aliwakoseaga nini jamani asiogombee uongozi kwa nini huo ufisadi wake wewe uliambulia ngapi maana ulivyoandika utafikiri ulikwepo saa na muda anapora hizo fedha za ufisadi .mhh utachomwa moto siku za mwisho .Mafisadi wameshatumbuliwa karibu wote bado wewe...
Mie nilikutana nae siku hiyo kila moja akamwona mwenzake tofauti na alivyotegemea yaani kila mtu hakuvutiwa na mwenzake issue ikaishia pale pale kila mtu akapita hivi hakuna aliyemtafuta mwenzeke .Swala la mahusiano mtandaoni sio issue wengi ni vioja mno sitaki hata kusikia.
We acha tu kusema wa mama wanateseka sana kuwaachiwa na watoto na wanaume .Unazaa mtoto na mwanaume ukimfuata akupe ingalau hela ya maziwa tu anakujibu sitambui kinyago chako pita hivi tena ukiendelea kunifuata na kuchinja pamoja na kinyaogo chako na hali anajua ni mwanae kabisa akupi hata mia...
Movie ingine hiyi hata kama watu wanazo hizo pesa ndani lakini siamini kama ni hela yetu ya tz .Watu akili zinafanya kazi kama rimoti walishafanya yao kitambo.
Eti katibu wa chadema ?Aliyekuwa jamani muwe mnaleta habari kamili jamani eti nimeondoka chadema kwa kuwa wanagawana vyeo kama karanga je nae alivyokuwa katibu aligawia kama karanga ?mbona wakati ule asikatae kuwa katibu?tumemsoma alikuwa bado anataka kuwa kionngozi tena pole yake upeo wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.