Lazima akatwe ili atambulike kwa urahisiAnao mkia ?
Amuulize kilichompata Matata , ccm haina rafiki .''Nilikuwa nimeandaliwa hoteli nzuri ambapo ningekaa na kupumzika huku nikitumia simu kuhamasisha makamanda ANDAMANENI, ANDAMANENI!''.
''Dhamira imenisuta! Kama mimi Katibu tuu wa mkoa Mwanza ningekuwa hotelini, je viongozi wa kitaifa watakua wapi?''. - Katibu wa CHADEMA Mwanza aliyehamia CCM leo.
Chanzo: Azam Tv
View attachment 390584
Upinzani hauwezi kuwa imara Kwa matamko Na matukio pori jengeni hojaMimi nasema huyu Magufuli analazimisha watu wampende yeye na chama chake kwa kutumia nguvu ya dola. Ajaribu kuruhusu wapinzani kufanya mikutano aone watanzania watakavyounga mkono maazimio, mipango, mikakati na hata matamko mbalimbali yatakayo tolewa na viongozi hao wa upinzani. Kama watanzania wangekuwa wanafurahishwa na utawala wake kamwe asingetumia polisi kukamata kila anayemkosoa (Rais) na kumwita mchochezi. Hii ni fedheha kwa watawala wetu.