Soma mathayo 19:1-9,marko10:1-10,kama ukimwacha ukaoa mwingine unazini, utamkosea Mungu na huenda ukafia dhambin na usipate nafasi ya kutubu na kuuona uzima wa milele!!!,hayo ni mambo ya kuvumilia tu,mwombe Kristo Yesu akupatie neema ya kumvunilia mwenza wako!!!
Sent using Jamii Forums mobile app