Kwa style hii ya mahusiano michepuko itadumu milele

Neybright KWELI MKUU, MIMI NAWASIKIAGA WASHIKAJI WANASIFIA KUWA WAKE ZA WATU WANARESPOND HARAKA MKIWA FARAGHA, YANI KAMA TV NA REMOTE.

SIJUI NIA YAO KUNISHAWISH.

MIMI SIPENDI WAKE ZA WATU, MKE WA MTU SUMU.
 
Neybright KWELI MKUU, MIMI NAWASIKIAGA WASHIKAJI WANASIFIA KUWA WAKE ZA WATU WANARESPOND HARAKA MKIWA FARAGHA, YANI KAMA TV NA REMOTE.

SIJUI NIA YAO KUNISHAWISH.

MIMI SIPENDI WAKE ZA WATU, MKE WA MTU SUMU.
Embu kajaribu kama ni kweli uje utupe ushuhuda maana inawezekana hao jamaa ni waongo.
 
Ukiona hvy mwisho wa Dunia umekaribia

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena ukisoma neno toka malaki2:10-17,Mungu hajaweka talaka na ukiona hivo ni kua ibilisi yuko kazini siku zote,na watu wasipomjua Yesu ,waume Kwa wake wa watu watatwaliwa sana tu,kibaya zaidi wanawake kwa mabinti wengi hawachukui mune wa mtu bila kumfanyizia dawa za kiganga,ila roho wa Mungu anasema waziwaz watu wasipomtafuta Yesu wa kweli wakaachana na maswala ya dini na mapokeo watalia kilio cha kisaga meno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Miaka michache kidogo iliyopita mwanamke kuzaa nje ya ndoa (bila ndoa) ilionekana kichefuchefu.. Yaan utadharauliwa na kila mtu lakini sikuhizi tunashangilia na kupiga makofi.. Tunatamani kuwa kama wao.. Mwingine kuzaa nje ya ndoa yake na mtu mwingine tunaona sawa kabisa na tutamshauri kafanya vema yaan analeta mtoto wa nje ndani ya familia, tunaona sawa tu... Mpaka wana support!!!! .
.
2. Kutoka kimapenzi na mke au mume wa mtu ilikuwa nadra au haikusikika kabisa na wanandoa walitatua matatizo yao kama yalikuwepo na kurekebishana wenyewe kwa wenyewe hata siri haitajulikana... Lakini sikuhizi, matatizo ya ndoa tunaya solve kwenye social network yaan mtayatangaza dunia nzima ijue mke au mume ndo chanzo Ili mwingine "akihalalisha" mtu mwingine isiwe ajabu tena... .
3. Hawara au (mwizi mzoefu) anamuita mume wa mtu eti mume wangu yaan anajua kabisa huyo siyo wake ana familia yake lakini kajituliza hapo anataka hiyo nafasi ya mke/mume halali iwe yake na anajitangaza hadharani mume wangu oooh mke wangu.... Hivi mnaona sifa eeeh.. Ilikuwa kichefuchefu na aibu kubwa kumuita wife mwanamke ambaye siye mkeo na una mkeo nyumbani... Au my husband wakati huyo ni husband wa mwingine... Matokeo yake sasa baada ya hayo mahaba kukolea yanaumiza familia na kuhusisha watu ambao hawakustahili ujinga wenu.... Ilikuwa haiwezekani ila kwasasa anhaaaa mume wa wote... Mke wetu sote
Na jambo hili unakuta mtu mkiristo na anauongozi kanisani lakini ni mzinzi,ni kwa sababu wachungaji wameacha kukemea dhambi wanaangalia sadaka,nina mifano dhahiri,mtu mkiristo anawake wawili ,binti anaimba kwaya kazaa na mume wa mtu,au anatembea nae badae anaamua kutoa mimba,lkin utakuta anashiriki meza ya Bwana kama kawa,ivi Yesu gani anayefungamana na uchafu,(maana kma yesu angekua katka mkate na divai hakika wazinzi na wevi,na waongo wangesha hukumiwa kwa kishiriki chakula cha kristo ambao ni mkate),na si kwa mkate na divai tu,!!!! hata kushiriki huduma mbali mbali za kikanisa,maana neno limesema utii ni bora kuliko sadaka ya pesa na kondoo aliyenona,hii ni kwa vile roho wa Mungu hayupo pamoja na wachungaji,maana hata wanaozaa na wame za watu ni waumini au wake za watu,tena wakiristo wangekua ndo mstar wa mbele kukemea watoto wao wasimtie Yesu aibu lkn ndo kwanza wanafurahia,Loh Yesu njoo uokoe ulimwengu huu,wako wapi watumishi unaowaweka wachunge kondoo zako!!no more mafundisho ya kuwajenga watu wamtii Kristo Yesu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu utakuwa umeingizwa chaka. Mkeo kakubali kutoa mzigo lkn akakuletea stori za uongo eti qmekataa. Wanawake usiwaamini hata wakiwa ndani ya jeneza.
Hahahahah, alikataa kwa maandishi na kauli pia...Well sijui zaidi but thats all i know!
 
Back
Top Bottom