Recent content by nyakashenyi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Kikwete na wafanyabiashara

    Usipende kufananisha Tanzanite na bati kuhusu thamani yake!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kimya cha VP, Bi Samia Suluhu tukitafsiri vipi?

    "One man show" ndo type ya Magufuli leadership
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

    Hajakamatwa kwa ishu hiyo bwana.Huu ni mzimu wa Escrow umefufuka!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Edward Lowassa, wataalamu wa mafuta na gesi: Nini maana ya neno "mafuta ya gesi"?

    Condensate ni mafuta ya gesi.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Malori wamefunga Barabara ya Morogoro, baada ya mwenzao kupigwa risasi na mwajiri wake

    Huo Ni ujinai tu.Kila mkataba wa usafirishaji una allowable losses almost 0.3% na 0.5% ya ama diesel au petrol so kwa jinsi navojua uwezo wa Tank ya lita 35000 mathalani hiyo lita 300 Ni allowable loss ambayo tajiri anasamehewa na mwenye mzigo. Huyu jamaa Ni ukorofi tu na kujuana na watu fulani!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa amani kufanyika kesho, Oktoba 11, 2015, Blue Pearl Ubungo Plaza

    Nakumbuka Mwalimu Nyerere Foundation walisema hawatofanya mdahalo wowote wakati wa kampeini.Au ndo last strategy?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mgombea Wa CCM Jimbo la Moshi Mjini afananishwa na Yahaya

    Hahahahaha,watu bwana.Nenda Kiboroloni ukiona nyumba nzuri kuliko zote jua hapo ndo kwa The Don himself Davis Mosha.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo kati ya CCM na Maghufuli.

    Watu watakosea kumchagua Magufuli,Ilhali ni CCM haohao.Na ikitokea CCM wakaingia madarakani,wamuache afanye anayotaka maana mpaka sasa wamemuacha tu na hizo tambo zake za "Serikali ya Magufuli....."
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa UKAWA na vitambulisho vya kupigia kura, kwanini na Zacharia Hans Pope?

    Hhahahahaha,bora mjerumani kuliko mwingereza.BIG UP comrade Hans Pope!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Hahhahahhahaha,Mkuu hujaona kazi yake hadi leo?.Ni kumpakazia Lowassa kila shutuma,ndo kazi yake hiyo!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Profesa mzima kabisa,Mijeledi aliyopewa bado anakubali dakika za mwisho kuhujumu upinzani.Kisa Noti,Duh!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa embu kuwa mkweli, Ina maana umesahau kiapo chako

    Watu wanachanganya after all.Hajatoa "Siri za baraza la mawaziri".Kaongelea what transpired at :Government Negotiating team"
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu yawahukumu Mawaziri wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona kwenda jela miaka 3

    Danganya toto ya muda wa kampeini!,Anyway atleast ila rufaa watachomoa tu!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Udhamini wa Lowassa unatia shaka

    4U movement ni tofauti muache kudanganya watu.Hii ni wakati ule anashawishiwa kugombea!
  15. N

    JamiiForums Tanzania Jaji Augustino Ramadhani achukua Fomu kugombea Urais wa JMT

    Wasomi wa Tanzania ni wa ajabu sana.Hivi mpaka sasa JK anaweza kukuahidi kitu na ukamuamini??.List ya aliowaharibia future ni ndefu,Anzia kwa Mhongo na taaluma yake alivoondoka kwa aibu wizarani.Jk alikuwa anashindwa nini kuzima hii ishu?. Ndugulile aliahidiwa nini from udaktari wake south...
Back
Top Bottom