Recent content by NyakaiIkagogo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya dola kuwa makini na kauli za Lowassa na Lema dhidi ya magaidi Zanzibar

    Hata uandishi wako tuu, unaonyesha jinsi gani usivyo na Weledi hata kidogo!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Duka la reagents za maabara jijini Mwanza

    Ninauza pia Aparatii na chemicals, nipo Kasulu mkoa wa Kigoma nicheki kesho nikupe kwa bei ya chee, otherwise nenda Salmakona Mwanza utawakuta Waja General hao jamaa wanatisha. Ulizia pia Victoria Bookshop mtaa huo nao wanatisha kweli
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kijana msomi na mchumi, David Dyoya kuling'oa jimbo la Kasulu Mjini

    Wapambe wa David Dyoya sasa mtakuwa munaanda ratiba ya kutandua matanga leo!
  4. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

    Mda gani watakuwa Live?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kituko cha uandikishaji wa wapiga kura - Kasulu

    Wakati nakatiza mtaa wa Nyachijima, Kijiji cha Kidyama kilichopo Kata ya Kigondo Wilaya ya Kasulu, nimekutana na Mzee KUDONA BALAKUBHA MFUMYA aliyekuwa ametoka kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura linaloendelea katika Shule ya Msingi Kidyama. Kituko, nilipoangalia Kadi yake ya...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Makongoro Nyerere wapata Ajali Kasulu - Kigoma

    Gari lililopata ajali likiwa kwenye msafara wa Makongoro Nyerere ni Landcruiser-VX.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Feedback Interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Wana Jamvi leo tumelala kweli,mpaka mda huu majina ya walio itwa kazini Tume ya Utumishi-Mahakama hayaja tupiwa humu.Tupieni hata scanned copies pls!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Feedback Interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Kwa mwenye full list ya waliochaguliwa please tunaomba atuwekee hapa tucheki.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hongereni mliopata kazi utumishi wa mahakama...

    Tuwekee majina kama unayo pls!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Madereva wasitisha mgomo: Kero zao kutatuliwa ndani ya siku 7

    Huwa sikubaliani na Mh.Mbowe kwa baadhi ya maswala lakini kwa hili nampongeza, ameongea kikamanda!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Zitto jibu hili tafadhali

    Hivi BAVICHA bila kutoa povu siku kwenu haiwezi pita?Siasa za leo ni kushindana kwa hoja, wala siyo uandishi wa Riwaya usio na ushahidi kama unavyo jaribu kuhadaa Watanzania.Zitto hana nyumba hata moja Kasulu, sijui majumba hayo mawili ya kifahari umeoteshwa na Chagadema?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Mwigulu Nchemba

    Unatokwa na povu tuu na umejaa ubabaishaji kama uliojaa Chagadema,ziara zote alizofanya mwaka jana unatueleza niza mwaka huu. Miezi mingine hata hatujafika,mbulula kweli.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

    Zitto tuko pamoja nawe,tunasubiri tuu kukabidhi kadi za Chadema!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

    Mh.Zitto ni sawa na watu 2000 wenye akili na uelewa kama wa Dikiteta Mbowe!.Najiandaa kuhama Ukawa na kuelekea kwa Mwami na Luyagwa wetu Zitto !
Back
Top Bottom