Sisi tulivyofanya mara ya kwanza ile.mwaka jana agosti ktk nafas za hr na adm ofcer kwa ajili ya mahakama.kuu za kanda... Tulikuja kuitwa mwaka unaofuata.......
Just imagine frm agost 2014 to mwaka unaofuata....😕
sasa nyie week mbili hoi?????
mkuu usitumie uzoefu uliopitiaSisi tulivyofanya mara ya kwanza ile.mwaka jana agosti ktk nafas za hr na adm ofcer kwa ajili ya mahakama.kuu za kanda... Tulikuja kuitwa mwaka unaofuata.......
Just imagine frm agost 2014 to mwaka unaofuata....😕
sasa nyie week mbili hoi?????
yapo kwenye gazeti gani?
Achen kuwapa wat presure me nmechek hayo magazet yote, hamna ktu chochote
achen wat wafanye kaz zngne, majna mpaka mwez wa tisa. me nafanya kaz mahakaman wandugu