Recent content by nyahinga

  1. nyahinga

    Naomba kujuzwa taratibu za kubadili kazi Ualimu kuwa Afisa Lishe

    Habari JF, Naomba kuuliza utaratibu wa kubadili kazi kutoka kuwa mwalimu na kuwa afisa lishe wa wilaya. Nimesoma BSc. In human Nutrition lakini pia nikasoma postgraduate diploma in education. Kwa Sasa nafanya kazi kama mwalimu, Ila nataka kuhamia kwenye field ya mwanzo. Yaani nataka nifanye...
  2. nyahinga

    Naomba tiba ya tatizo la kinywa

    naomba tiba ya tatizo la kinywa yaani nina miaka mingi sasa nasumbuka na kuumwa koo linawaka na ulimi unakuwa na alama za michilizi. Mwenye dawa anisaidie
  3. nyahinga

    GE2020 Mbowe kwaheri jimbo la Hai

    Mzee yupi kwani, ni kijana tu mwangalie fb ameweka profile picture ya rais Magu, kijana huyu ni hatari sana
  4. nyahinga

    GE2020 Mbowe kwaheri jimbo la Hai

    Yaani sipati picha. Anakubalika kila sehemu mkuu.
  5. nyahinga

    GE2020 Mbowe kwaheri jimbo la Hai

    Huyu hapa kijana anakwenda kumg'oa mbowe kwenye jimbo lake, kijana ni hatari sana. Anajulikana kwa jina la Revocatus Lazaro atasimama kwa kiti cha CCM.
  6. nyahinga

    Kwa ufaulu huu anaweza kusoma kozi gani VETA?

    Yeye ananiomba nimtafutie shule aanze form two, sasa sijui kama inawezekana. Nipeni ujanja hapo nimpeleke form two
  7. nyahinga

    Kwa ufaulu huu anaweza kusoma kozi gani VETA?

    Ahsante, yeye anachokitaka kwa sasa ni kuanza kusoma upya. Alikuwa anaulizia kama kuna uwezekano wa kupata shule aanze form two. Je hii inawezekana
  8. nyahinga

    Kwa ufaulu huu anaweza kusoma kozi gani VETA?

    Habari JF, Nina mwanangu amehitimu Form Four, na kufaulu masomo mawili tu yaani Kiswahili C na Biology D. Naomba kuuliza kozi gani itamfaa VETA yeye ni wa kike. Msaada jamani, kama huna msaada usiandike chochote.
  9. nyahinga

    Kiwanja au Ng'ombe?

    Jf salimini. Napenda kuuliza kipi bora kununua kiwanja kwa milioni moja au kununua ng'ombe wa milioni moja?
  10. nyahinga

    Wajasiliamali wa vyakula

    Habari za wakati huu, Napenda kuwapa njia bora ya kuongeza thamani wa bidhaa na mvuto kwa wateja hasa bidhaa za kufungasha. Hapa njia nayozungumzia ni kuweka lebo, najua wengi mnaweka lakini inakosa kitu muhimu sana ambacho ni ingredients, nasema tena ingredients. Mlaji wa sasa hasa anapenda...
  11. nyahinga

    Mwalimu.

    Kwanini , kumbuka Nina postgraduate diploma in education, but pia hospital naweza nikafanya lakini nafasi ni chache sana kuzipata hospital
  12. nyahinga

    Mwalimu.

    Habari JF, Mimi ni mwalimu wa somo la Home economics(kwa sasa ni Food and human nutrition), natafuta shule yenye somo hilo nikafundishe. Nina bachelor of science in human nutrition ya SUA, pia Nina Postgraduate diploma in education ya UDSM. Nafundisha kuanzia o-level hadi A-level, CHUO pia...
  13. nyahinga

    Uzi wa kuwaunganisha wenye ujuzi na wenye mitaji

    Mimi ni mtaalam wa lishe, nimepata utalaam huu pale SUA. (Nutritionist)
  14. nyahinga

    Uzi wa kuwaunganisha wenye ujuzi na wenye mitaji

    Ujuzi wangu: Nutritionist (Mtaalam wa Lishe) Wazo langu: Kuunda association ya consultants Faida: itategemea na ukubwa na utendaji kazi wa association. Mapungufu: Mtaji, washirika
  15. nyahinga

    Mwalimu wa nutrition anapatikana hapa

    Hata mimi nimesoma SUA BSc. In Human Nutrition badae nikaenda UDSM nikasomea kozi ya ualimu yaani Postgraduate Diploma in Education, pia niko kwenye wakati wa kutafuta shule ya kufundisha somo hilo, ni mwalimu mwenye uzoefu, na mwenye sifa sitahiki. Ni pm please
Back
Top Bottom