Kiwanja au Ng'ombe?

nyahinga

Member
Dec 18, 2016
45
23
Jf salimini.

Napenda kuuliza kipi bora kununua kiwanja kwa milioni moja au kununua ng'ombe wa milioni moja?
 
[/QUOTE]

Bro usifananishe ng'ombe na vitu vya kipumbavu.

S/No.Ng'ombeKiwanja
1.Maziwa yanakulipa (Ndama na mbolea)Unalipa kodi, ushuru na tozo n.k
2.Wanaongezeka kila mwaka 100%Kinaongezeka thamani chini ya10% kwa mwaka
3.Mtaji usiohitaji uwekezaji mkubwaMtaji unohitaji hadi 10times kuuendeleza
4.Rafiki wa mazingira & Afya yakoAdui wa mazingira na Afya yako hasa ukipitiwa na bomoa bomoa ndiposa presha, sukari hadi Kansa waweza ipata bila kutegemea
5.Haihitaji udalali na utapeliHuku ndiko walikojaa majizi na matapeli yaliyoidhinishwa
6.Unaweza jimwambafy kwa kutengeneza ajiraUnakuwa bogus kwa kudhani kuwa ardhi ni Mali yako kumbe wewe ni wakala tu mwenye Mali ardhi nchi hii ni serikali
 
Chukua shamba mkuranga au msata la Bei Kama ekari moja kwa laki mbili hivi,chenchi itakayobaki week mbuzi ,mbegu ya mapacha,kwa kipindi kifupi tu utakua nao wengi,punguza Kisha nunua ng'ombe,ushauri tu
 
We jamaa tunafanana mawazo hivi
 
Chukua shamba mkuranga au msata la Bei Kama ekari moja kwa laki mbili hivi,chenchi itakayobaki week mbuzi ,mbegu ya mapacha,kwa kipindi kifupi tu utakua nao wengi,punguza Kisha nunua ng'ombe,ushauri tu
Ushauri mzuri saana ILA kuna mimasai inaamini MBUZI wote duniani ni wao.Plz uwe makini ulinzi wa mbuzi unatakiwa uwe mkali kuliko ulinzi wa Ngombe.Hawa wamasai wanarudisha watu nyuma saana juzi kati wamevuna mbuzi 80 wa jama yangu, amebaki anaulizia njia ya kwenda sumbawanga kila siku
 
Hahaha wamang'ati hao ,hatari sana
 
Back
Top Bottom