Uzi wa kuwaunganisha wenye ujuzi na wenye mitaji

Ujuzi wangu ni biashara,tupo mtu mbili tunafuata mazao kijijini tunakuja kupiga hela mjini kwa sasa aliekua na shamba amesitisha kulima tatzo limekua ni mtaji tulikua tunafuata mzigo wa m6 tunauza hadi zaidi ya m7 sabb dalal tulikua sisi wenyewe kwa mwezi safari hadi mara tatu sasa tatizo limekua ni mtaji kwa sasa nafanya mishe zingne zinazonipa kusogeza maisha hapa mjini....nikipata mtaji narudi kwenye kazi
 
Mtaji mliokuwa mnautumia + faida ilienda wapi?
 
Ujuzi wangu ni biashara,tupo mtu mbili tunafuata mazao kijijini tunakuja kupiga hela mjini kwa sasa aliekua na shamba amesitisha kulima tatzo limekua ni mtaji tulikua tunafuata mzigo wa m6 tunauza hadi zaidi ya m7 sabb dalal tulikua sisi wenyewe kwa mwezi safari hadi mara tatu sasa tatizo limekua ni mtaji kwa sasa nafanya mishe zingne zinazonipa kusogeza maisha hapa mjini....nikipata mtaji narudi kwenye kazi
Ukitoa garama zote za kulima,usafirisha,kutafuta masoko,muda wa kukamilisha mauzo yote n.k ulikuwa unabaki na faida kiasi gani?
 
Uzi wa kuwaunganisha wenye ujuzi na wenye mitaji.
  1. Taja ujuzi ulionao: mfn. kutengeneza katuni
  2. Wazo ulilonalo: mfn.Kutengeneza matangazo kwa kutumia katuni
  3. Unatafuta nini: mfn. Mshirika/mtaji/kuajiriwa
  4. Faida baada ya utekelezaji:mfn. mauzo yasiyopungua 50m kwa mwaka
Karibuni.

Ujuzi wangu: Nutritionist (Mtaalam wa Lishe)
Wazo langu: Kuunda association ya consultants
Faida: itategemea na ukubwa na utendaji kazi wa association.

Mapungufu: Mtaji, washirika
 
Ningependa kujua,ni kutoa ushauri tu kwenye lishe au kutengeneza lishe na kuuza? Na je, mapato yatapatikanaje?
 
Kama wewe una ujuzi wa kutengeneza kitu kinachoonekana na unauhakika soko lipo,ila umekwama kwa sababu unazozijua wewe njoo tujadiliane katika huu ukurasa.
 
Ujuzi wangu: Finance and business consultancy
Wazo langu: Kumiliki consultants firm yangu
changamoto:mtaji kufungua ofisi (sasa nafanyia home wateja napata wengi lakini price ziko chini mno coz sina ofisi)
Faida: inapatikana lakini ni kidogo sana inasaidia tu kucover expenses za kawaida tu
lengo:kufika mbali mwenye uwezo wa kunipa soft loan nina asset land plot hekar 13 na pikipiki 1 used
Kampuni yako imesajiliwa?Na malipo unayopata yanaingia kwa jina la kampuni (cheque unayopewa inakuwa imeandikwa jina la kampuni)? au wanakulipa kwa kutumia cash?
 
Ujuzi: Marketing and Entreprenurship/ Information Comm. Technology.

Currently: Declaration Clerk, Enterprise Logistics Co. Ltd logging shipping documents za aina zote kwenye mfumo wa Tancis na kufanya clearance ya mizigo bandarini na kwenye ICD mbalimbali.

I also serve KCL Limited as a part time marketing staff majoring in Branding and Advertising. Kwa wenye kazi za printing, mabango yote 3D na ya kawaida msisite kunicheki! Kazi zetu baadhi ni kama full branding ya container ile ya Mak Juice, Lolo Juice Tabata senene, Hammer Juice, Last Minute ya Irene Uwoya, 3D logo ya Clouds Fm, Halotel, Paradise trends, Kwa Mkinga na nyingine nyingi. Tshirts tumefanya nyingi sana kuna kazi za CRDB, Zile za RIP Ruge yani nyingi tu zikiwemo za puff, za kudarizi na za sticker.

I Welcome you all to get the best business experience ever!
 
kampuni sijasajili bado ila nimesajili jina tu hadi sasa na malipo ni benki na cash kwa account yangu binafsi
Sajili kampuni,fungua akaunti ya kampuni,malipo yote yapitie kwenye akaunti ya kampuni...baada ya hapo wadau watakushauri namna ya kuomba mkopo kufuatana na mzunguko wako wa fedha katika akaunti yako;mkopo wowote bila kuwa na rekodi nzuri katika mzunguko wako wa fedha inakuwa ni ngumu kampuni,bank au mtu yeyote kuamini kama fedha yake inaweza kurudi kama atakukopesha.
 
Ujuzi wangu mm ni software development. Since nina experience kwenye hilo.
Pia nafanya hardware design.. programming.
Uzi wa kuwaunganisha wenye ujuzi na wenye mitaji.
  1. Taja ujuzi ulionao: mfn. kutengeneza katuni
  2. Wazo ulilonalo: mfn.Kutengeneza matangazo kwa kutumia katuni
  3. Unatafuta nini: mfn. Mshirika/mtaji/kuajiriwa
  4. Faida baada ya utekelezaji:mfn. mauzo yasiyopungua 50m kwa mwaka
Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujuzi: Marketing and Entreprenurship/ Information Comm. Technology.

Currently: Declaration Clerk, Enterprise Logistics Co. Ltd logging shipping documents za aina zote kwenye mfumo wa Tancis na kufanya clearance ya mizigo bandarini na kwenye ICD mbalimbali.

I also serve KCL Limited as a part time marketing staff majoring in Branding and Advertising. Kwa wenye kazi za printing, mabango yote 3D na ya kawaida msisite kunicheki! Kazi zetu baadhi ni kama full branding ya container ile ya Mak Juice, Lolo Juice Tabata senene, Hammer Juice, Last Minute ya Irene Uwoya, 3D logo ya Clouds Fm, Halotel, Paradise trends, Kwa Mkinga na nyingine nyingi. Tshirts tumefanya nyingi sana kuna kazi za CRDB, Zile za RIP Ruge yani nyingi tu zikiwemo za puff, za kudarizi na za sticker.

I Welcome you all to get the best business experience ever!
Ujuzi uko vizuri,na mwenye ujuzi awezi kulala njaa.Ikiwezekana weka sample ya baadhi ya kazi ulizofanya ili kuvutia wadau.
 
Ujuzi: Mtayarishaji wa Muziki (Producer)

Wazo: Kushirikiana na msanii (Collab)

Natafuta: Msanii atakayekidhi vigezo tutaingia naye mkataba wa kufanya Collab (Either kwa kumlipa exclusively mwanzoni au kugawana kitakachopatikana/faida).

Faida baada ya Utekelezaji: Exposure (Kitaifa na Kimataifa), Experience, kujifunza aina nyingine nyingi za muziki/genre, kupromote kazi zetu katika media tofauti tofauti pamoja na TV na Redio, kuongeza wigo wa mashabiki, kuface new challenges, kuongeza professionalism, Fedha, n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom