Recent content by NUVIA

  1. NUVIA

    Asali na peanuts bei kitonga

    MATUMIZI 1.KULIA MIKATE 2. MCHUZI 3. UJI 4.😂🤗 HATA KULAMBA TU
  2. NUVIA

    Asali na peanuts bei kitonga

    Habari ,karibuni kwa oda za asali na peanuts butter ASALI 1Ltr..............................18000 1/2Ltr........................9000 PEANUTS BUTTER 1kg.............................9000 500gm....................5000 4Ogm....................(10×400/= kwa jumla )...
  3. NUVIA

    Nguruwe wa kufugwa na nyama wapo

    Je! Unahitaji nguruwe wa nyama ?? Je! Unahitaji watoto wa nguruwe wa chin ya miez 3 ?? Kalibu LUNO Pig Farm tupo nao kwa bei sawa na afya na uzito wa nguruwe . Location ; MPUNGUZI,DODOMA Follow the NGURUWE DODOMA channel on WhatsApp: NGURUWE DODOMA Mawasiliano 0796007039
  4. NUVIA

    Nguruwe watoto wa miez miwili wanauzwa

    Nguruwe wa miez 2 ni 70k (Chotara) Nguruwe wa miez 3 wanauzwa 400k Wapo nguruwe wa nyama pia Mawasiliano 0796007039 Follow the NGURUWE DODOMA channel on WhatsApp: NGURUWE DODOMA
  5. NUVIA

    Ofa ya watoto wa nguruwe LARGE WHITE chotara

    Kuna OFA ya watoto wa nguruwe aina ya LARGE WHITE chotara Umri : miezi mitatu Chanjo : zote zimepigwa Afya : ipo kama katika video Bei : 150k kila moja Location : mpunguzi, bahi dodoma Popote unaletewa Mawasiliano : 0685237039
  6. NUVIA

    GE2025 Kunje achukua fomu ya urais Tanzania

    Toeni taratibu na mimi nianzishe chama wakuu 🤕 , Maana inaonekana inahitaji mtaji kidogo sana 🙌
  7. NUVIA

    Nataka kufanya biashara ya vijora kutembeza mtaani mtaji 150k nianzaje

    Kijana 🤒 au basi . Ngoja nikae kimya 😂🤔
  8. NUVIA

    Kwani mkiishia kusema NO REFORM NO ELECTION haitotosha?

    Kwani mkiishia kusema NO REFORM NO ELECTION haitotosha mpaka mnataka mniue na mimi !!!😱 Wanachadema punguzeni jaziba , sis sote ni watanzania sema utofauti ni upande wa kiganja tunapo pokelea chakula. Acheni basi , wakati wenu utafika na nyie mtatawala .
  9. NUVIA

    Zifahamu sheria za kuvaa suti. Utatoboa?

    NO. 9 Alooooo😂 Konda unae soma ujumbe huu ujipange nakutifua hata kama ni 50/= nipe changu. 26.Siwezi towa ndevu kaka 😁 nilizaliwa mweupe kidevu kama embe siwez kufa mweupe tena .
  10. NUVIA

    Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

    Hapo shida inaanzia pale ambapo watoto wanasoma kuanzia la Kwanza mpaka kidato cha nne bila kuwa na mawazo ya ndoto yake ya baadae. 📌Akifikia muda wa kuhitimu kidato cha nne anaanza kukurupukia michepuo 🙌 📌Na hata akiupata mvhepuo hajui vhuo kikuu ataenda kusomea nini ??? Sasa, hujachelewa...
  11. NUVIA

    Kuoga ni dk15-20, Nyie mnaotumia dk1,2,3 kuoga, unaoga! Sasa unaoga nini?

    Na haifai kuingia hata bafuni , muachie mke wako tu.Wewe katafute fweza 📌🙅
  12. NUVIA

    Computer4Sale Bei ya tablet na PC zetu imepungua, karibuni kununua

    🇬🇧𝐆𝐎𝐎𝐆𝐋𝐄 𝐏𝐈𝐗𝐄𝐋 𝐎𝐑𝐈𝐆𝐈𝐍𝐀𝐋 𝐒𝐓𝐎𝐂𝐊 𝐀𝐀++ -𝟒𝐚 𝟏𝟐𝟖𝐠𝐛 36𝟎,𝟎𝟎𝟎 -𝟒𝐱𝐥 𝟔𝟒𝐠𝐛 𝟑7𝟎,𝟎𝟎𝟎 -𝟔𝐚 𝟏𝟐𝟖𝐠𝐛 𝟑9𝟓,𝟎𝟎𝟎 -𝟔 𝟏𝟐𝟖𝐠𝐛 46𝟓,𝟎𝟎𝟎 -𝟕 𝟏𝟐𝟖𝐠𝐛 53𝟎,𝟎𝟎𝟎 ☎️𝐂𝐚𝐥𝐥/𝐓𝐞𝐱𝐭 𝟎𝟔85237039
  13. NUVIA

    Computer4Sale Bei ya tablet na PC zetu imepungua, karibuni kununua

    Na hakuna simu ina kioo fake
  14. NUVIA

    Computer4Sale Bei ya tablet na PC zetu imepungua, karibuni kununua

    Yes kaka, hazijabadilishwa kioo
Back
Top Bottom