Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,740
- 45,841
Hata kwa dharura hauli sheikh?Nguruwe kwetu haliwi wala hauzwi na hata kuulizia thamani yake haina haja.

naona wamenona sana ila beiKaka nakuomba uache uzushi 😂🤣 nakuheshimu