Recent content by Nus

  1. Nus

    JamiiForums Tanzania Bro to bro: Kamwe usimwambie mwanamke mambo haya

    Majanja inabidi mjisomee kitabu "The Manipulated Man", mna lialia sana & kulishana matango-pori.
  2. Nus

    JamiiForums Tanzania Nini huwa kinapelekea watu kuua au kujiua kutokana na mapenzi ?

    1. Attachment. 2. Oneitis.
  3. Nus

    JamiiForums Tanzania Kupika chapati kwa kutumia sponji kunaweza kusababisha kansa!

    Hawa TBS nao ni Changamoto. Ni Bidhaa ngapi zipo mtaani na zimethibitishwa na TBS na sio food-grade? Ni Bidhaa ngapi zipo mtaani zenye wingi wa Microplastics? Hivi vifungashio vya plastic/Nylons, Plastic bottles kibao n.k. vyote hivi huacha hizo Micro-plastics kwenye bidhaa zinazohifadhia...
  4. Nus

    JamiiForums Tanzania Kupika chapati kwa kutumia sponji kunaweza kusababisha kansa!

    Wapi huko watoto wa kike hawapelekwi shule? Tatizo ni kupelekwa Shule au ni wahusika ku-cherrypick baadhi ya mambo wanayofundishwa humo mashuleni?
  5. Nus

    JamiiForums Tanzania TANESCO yamtafuta mtoto aliyeonekana akisoma kwa taa ya jirani ili kumsaidia

    TANESCO imejaa majinga mengi! Msaada upi zaidi ya kufanya umeme kuwa wa gharama nafuu kwa kila Mtanzania kuanzia gharama za kuvutiwa umeme & Units za umeme! Matokeo ya kuingiza siasa na Njaa kwenye mambo ya kitaalamu. Je ni kwamba wataalamu wa TANESCO wamesomea Ujinga huko Vyuoni & shuleni! Je...
  6. Nus

    JamiiForums Tanzania Responded Ufafanuzi kuhusu: Upatikanaji wa Dawa ya Trastuzumab kwa Wagonjwa wa Saratani

    Ni zipi hizo? Je wewe, mwendesha JF account ya hospitali(MNH) umeshawahi kujaribu kupata majibu sahihi kutoka kwa Daktari/tabibu/wafamasia wenu uone ilivyo shughuli pevu? Watu wanateseka sana wanapotibia wagonjwa wao hapo MNH. Huo msisitizo ulipaswa uende kwenye idara zenu & wafanyakazi wake...
  7. Nus

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwezi wa pili sasa Mama amekosa Dawa ya Saratani (IV TRASTUZUMAB 440mg) Muhimbili Upanga

    Ni zipi hizo Taratibu? Ni vyema kama mngeziainisha, pia mtoe taarifa kama wataalamu sio wanasiasa.
  8. Nus

    JamiiForums Tanzania Kuyafikia mafanikio ya ufugaji kwa kuku wa broiler

    Unyama sana Boss, Je ni kweli kuna utofauti kwenye uzalishaji kati ya Chakula cha Kununua na kutengeneza mwenyewe kupitia Formula?
  9. Nus

    JamiiForums Tanzania Hivi biashara ya laundry dryer cleaning inalipa kweli kwa dar na Dodoma

    Wewe unaongelea kitu kingine sio Laundry, hata Madobi hawafanyi ivyo mzee. Mteja anataka nguo zake ndani ya masaa mawili, Nguo zinakaukaje baada ya kufua mzee?
  10. Nus

    JamiiForums Tanzania Hivi biashara ya laundry dryer cleaning inalipa kweli kwa dar na Dodoma

    Unataka kusema 2M itatosha kupata hivi vyote Mzee? 1. Washing Machine. 2. Tumble Dryer. 3. Steam Iron. 4. Ironing Table. 5. Sealing machine. 6. Sabuni (Unga & kimiminika). 7. Mifuko ya Nguo safi. 8. Disposable hangers. 9. Suspending Stations/Posts. 10. Na kadhalika.
  11. Nus

    JamiiForums Tanzania Kuyafikia mafanikio ya ufugaji kwa kuku wa broiler

    Kumaanisha 6M inatosha kufuga kuku 500 kufikia hatua ya Kutaga?
  12. Nus

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza ufugaji wa kuku kwa hatua ndogo

    Vipi Boss. Kwa Uzoefu Uliokuwa nao, inachukua mtaji kiasi gani kufuga Kuku wa mayai mia tano (500) kufikia hatua ya Kutaga?
  13. Nus

    JamiiForums Tanzania Hali inayotokea katika maisha tumepangiwa au tunapanga sisi wenyewe

    Sogea Ilangali hapa kuna kazi ya Kuvuna Boss.
  14. Nus

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi kashfa zinazoendelea, itakuwa ngumu sana kiongozi Mchaga kukubalika

    Kuna mawili kati ya haya 1. Wewe ni Shabiki wa mashoga au Watu waliobadili Jinsia zao. 2. Wewe ni Shabiki wa Wachaga. Unazo Habari zao za Kutosha, Kudos.
  15. Nus

    JamiiForums Tanzania Hali inayotokea katika maisha tumepangiwa au tunapanga sisi wenyewe

    Ana hasira Kinyama!
Back
Top Bottom