Recent content by Nuryaa

  1. Nuryaa

    JamiiForums Tanzania Nime mcheat Mke wangu akagundua naye akalipiza kuwa sasa tupo ngoma draw...tuanze upya

    Hah hah hah mwanaume ndio anaruhusiwa kucheat
  2. Nuryaa

    JamiiForums Tanzania Kuna usemi wanawake wanao eti "nilianza nae chini/nilimkuta hana kitu" then what?

    Wew ndoa itakushinda kama unataka haki sawa...
  3. Nuryaa

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kabisa kutumia pilipili, mtaachwa na wapenzi/waume zenu

    Hee, sasa kwa wahindi inakuaje? Inamaanisha india wanawake wote wako kama alivyokuwa huyo mpnz wako? Maana pilipili kwao ni kama utamaduni
  4. Nuryaa

    JamiiForums Tanzania Nipo tofauti na wanaume wengine. Wengi wananambia nikienda kwa mganga ntatibiwa tatizo hili

    Mmmh kunawengine hatuamini katika kukojozwa hah hah hah
  5. Nuryaa

    JamiiForums Tanzania Faida kibao za kuoa mke asie na kazi/ hela a.k.a mama wa nyumbani

    Hah hah hah huo ni zaidi ya ubinafsi ,yan ukifa mambo ya watoto wako wew hayakuhusu!!!!
  6. Nuryaa

    JamiiForums Tanzania Yawezekana kuwepo urafiki usio wa kimahaba kati ya mwanaume na mwanamke?

    Upo tena walaa mnakuwa hamna hisia za mapenzi, na mnakuwa mnaheshimiana tu,mm ninae ambae tulisoma nae toka nursery. ...
  7. Nuryaa

    JamiiForums Tanzania Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

    Hah hah wote hao
  8. Nuryaa

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinachanganya kama kuwa kwenye mahusiano na mtu asiyejua nini haswa anataka

    Mmh yani ukiona mpenzi wako anakufanyia vitu kama hivyo bora usonge mbele hapo hamna mapenzi na mara nyingi ukijafanya unavumilia vituko vidogo vidogo utakutana na kubwa la kukukomoa.
  9. Nuryaa

    JamiiForums Tanzania Mambo 7 yanayowaumiza wanaume kwenye mapenzi

    Somo zuri hili, ila mkiwapata hao wenye kuwa wastaarabu huwa mnawaona wajinga na kuwaletea vibweka....
  10. Nuryaa

    JamiiForums Tanzania Sababu gani zimekufanya ukawa single mpaka leo?

    Duu jifunze kusamehe ili uishi kwa amani kaka
  11. Nuryaa

    JamiiForums Tanzania Am sick and tired, mchumba wangu hataki kuniona

    Akufukuzae akwambii toka, za kuambiwa ongeza na za kwako
  12. Nuryaa

    JamiiForums Tanzania Haya Maisha Haya.....

    Hah sio kwamba unaumia haufarahii mafanikio yao lahasha (unafurahishwa sana ) sema unaumia na nafsi yako
  13. Nuryaa

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa kwenye usahili ajira za muhimbili

    Daaa siku nikipata kazi ntajiisi nimezaliwa upya, maana hapo probability ni zeroo
  14. Nuryaa

    JamiiForums Tanzania This is big week kwa wale waliopiga Oral ya TRA

    Aisee ngoja nikupm jina langu uniangalizie kama nipo, maana naweza kufa kwa presha
  15. Nuryaa

    JamiiForums Tanzania Haya Maisha Haya.....

    Daaa maisha bana, nikumuomba mungu tu yasije yakakukuta.....huwa inaumiza kukutana na wenzako ulikuwa nao pamoja wamefanikiwa wew upo upo tu
Back
Top Bottom