Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,345
- 15,109
Nawapongeza Vijana Ambao nawaona hata kwenye Microsoft Word Table ambao wamepata kazi Katika Most reputable Organization In Tanzania (The TRA) well deserved hasa wale watu wa Customs walikua Kama 6,700 Tax 5,700 na Revenue 5,500 nawapa Hongera katika Majukumu yenu Mapya Mtakayooanza hivi karibuni.
Walioshindwa utawasikia Mishara yenyewe Midogo jina tu la TRA. Niwakubushe Losers TRA ni Most reputable organization ambayo Ukiitaja inafahamika hata kwa watoto wadogo.
Mimi ningekua Siyo Mzee Ningeomba pia.
wait for the big news!!!
Hongereni Sana