Tangazo la kuitwa kwenye usahili ajira za muhimbili

msomi kutoka znz

JF-Expert Member
Sep 18, 2017
599
2,678
Ukistaajabu ya musa utaona ya firauni. assistant accountant post tatu, wasailiwa walioitwa wapo zaidi ya elfu moja.
 
Screenshot_2017-10-08-19-23-26.png
Screenshot_2017-10-08-19-24-37.png
 
Duh! Yaani buku kwa tatu? Hapo wanaenda kushotlistiwa kwa written interview then oral itafuata na watu 300 hiv
 
Wakiita wachache mnalalamika!!

Sasa ni kila mtu na lake kufunga kamba haswa kupata nafasi hizo.
 
Back
Top Bottom