radicals
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 4,411
- 6,496
hapana, mimi sio yule drake, sijawaji badili id mkuuMtu ukibadili avatar unasahaulika kabisa. Wewe ndio yule Drake?
hapana, mimi sio yule drake, sijawaji badili id mkuuMtu ukibadili avatar unasahaulika kabisa. Wewe ndio yule Drake?
Kuna wimbo aliimba jide, Kuna sehemu anaimba hivi, usikatae akikwita labda kesho yatakukuta dunia yabadilika hujui lini utaangukaUsimdharau binadamu yoyote yule duniani Mkuu na wahenga walituachia wosia kabla hujafa hujaumbwa. Maisha ni safari ndefu sana.
Daaa maisha bana, nikumuomba mungu tu yasije yakakukuta.....huwa inaumiza kukutana na wenzako ulikuwa nao pamoja wamefanikiwa wew upo upo tuHuku uswazi ninapoishi kuna wale vijana wanaokota chupa za plastic nafikiri wengi mnawafahamu. Wanakuwa very rough hivi. Juzi juzi wakati natoka geto uswazi nikakutana na mmoja na zigo lake la chupa, tukapishana paap.
Kwenda mbele akili ikarudi hii sura mbona naijua? Nilivyogeuka nikagongana nae kageuka ananiangalia akanipotezea akaondoka, njia nzima nikawa najiuliza huyu nimemuona wapi? Baada ya muda akili ikakumbuka ni fulani, tumekuwa nae mtaani enzi hizo!
Kujiridhisha nikampigia simu ndugu yangu mmoja, nikamwambia nimekutana na mtu kama fulani anaokota yale machupa, ndugu yangu huyu akanithibitishia ndio yeye anajua kuwa anafanya kazi hio. Nikakumbuka utotoni, kwao huyu jamaa ilikuwa ni familia mfano wa kuigwa, kila kitu kiko mstari. Baba very strict watoto wanasoma. Kilichotokea hadi huyu jamaa kuwa hivi sijui ni nini. Yote maisha!
Kisa hiki kimenikumbusha siku moja bi mkubwa kanipigia simu. RR jana nimekutana na James supermarket kanipa $500! Anakutafuta! Huyu James wakati nasoma yeye alikuwa level moja na kaka yangu. Mimi form 1 wao form 4. James kwao hali ilikuwa mbaya sana mara nyingi alikuwa anakuja na bro nyumbani weekend analala na kupata mahitaji mengine ya shule. Ni stori ndefu sana, kifupi nilienda kuonana na James tukaongea sana na kukumbushana mengi na sasa hivi ana kampuni kubwa sana ya IT na yuko vizuri sana kiuchumi.
Kuna mengi ya kujifunza hapa.
Hah sio kwamba unaumia haufarahii mafanikio yao lahasha (unafurahishwa sana ) sema unaumia na nafsi yakoInabidi ikufurahishe pia. Ni vizuri watu wote wafanikiwe.
Nipo aisee..hili jina tunaitanaga na mwanangu Kichwa Kichafu aisee mawindo yetu tunayajuaHunter upo? Naonaga tu unaitwa hunter sijui huwa unawinda nini?
Labda anataka kujiunga chama la wana.Nipo aisee..hili jina tunaitanaga na mwanangu Kichwa Kichafu aisee mawindo yetu tunayajua
Hatuijui kesho, kesho Giza na ni Mungu tu anaeijua kesho yetu, hapa ndo huwa Naamini kuwa Mungu yupo
akaribie tuLabda anataka kujiunga chama la wana.
Kama ni age mate wa Jakaya basi Lemutuz ana afya njema Sanaha ha ha ha mkuu umenichekesha sana ujue le mutuz ni age mate na wakina jk sema wenzake wametusua yeye alikimbilia ulaya saizi kaludi maisha yamempiga so kaamua kuishi kijanja janja ha ha ha jamaa anamiaka zaidi ya 60 alafu utamuona kwenye after school bash na watoto wa sekondari