Mambo 7 yanayowaumiza wanaume kwenye mapenzi

Hiyo ya kulinganisha bhana huwa inawafanya wanaume wajisikie vibaya mnoo, hata kwa wanawake ila kwa wanaume zaidi!!!!

Huyo ni mwanaume wako, ulimpenda ukamchagua sasa unamlinganisha na fulani ili iweje labda!!!! Tunalalamika wanaume hawana nguvu za Usiku lakinii Sisi ni chanzo namba moja, sababu ya midomo yetu.

Naamini sio wanawake wote ila weeengi jamani midomo yetu inaweza jenga na inaweza bomoa pia!!!!!
Huyu ndiye mwanamke anayejielewa.
Hongera zimwendee mme wake.
 
Hiyo ya kulinganisha bhana huwa inawafanya wanaume wajisikie vibaya mnoo, hata kwa wanawake ila kwa wanaume zaidi!!!!

Huyo ni mwanaume wako, ulimpenda ukamchagua sasa unamlinganisha na fulani ili iweje labda!!!! Tunalalamika wanaume hawana nguvu za Usiku lakinii Sisi ni chanzo namba moja, sababu ya midomo yetu.

Naamini sio wanawake wote ila weeengi jamani midomo yetu inaweza jenga na inaweza bomoa pia!!!!!
Kweli aisee...Sijawasema wanawake wote ni baadhi
 
wachache, kuna watakaokuja kupinga hapa..we subiri tu
MKUUU IYO NI NATURE YA WANADAMU .

ALAFU NAKUHAKIKISHIA ,,AS LONG AS UMENENA UKWELI MTUPU.

WANAOPINGA HUWA NIWANAFIKI AMBAO MOYONI HUSEMA IVI ** Jose kaongea ukweli*

Brother ,,,hiii dunia ukiisoma vzuri haikupi shida.
 
Back
Top Bottom