Recent content by Nuru Ndosi

  1. Nuru Ndosi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Arumeru Magharibi ahamia ACT

    Kuna muislam aliyejitokeza kuchukua fomu akazuiwa kugombea?wewe mwenyewe unayeuliza hili wewe ni CCM nashangaa maulid sio yako umeivaliia kanzu ?
  2. Nuru Ndosi

    Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Halafu mwigulu anazungumza ujinga bungeni embu nenda hai ukajionee lami kila kona weee kajenge jimbo lako muuache mbowe keshakuacha mbali sana kimaendeleo kwenye jimbo wewe wananchi wako maji hawana barabara tabu badala muda mchache unaupata uombe maendeleo kwako ,unaanza kuangaika na wabunge...
  3. Nuru Ndosi

    Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Ni kosa kubwa kumwita mbowe mnafiki kwa jambo usilolijua wewe unahuhakika gani na sms aliisoma mwigulu?sikia hizo ni propoganda tu za zitto na mwigulu ,hazitusumbui kabisa chadema ,pia elewa lillani ni mwanamke mwenye hekima sana na busara pia kwa hiyo kwa kutuma hii picha huku hutoivunja hii...
  4. Nuru Ndosi

    Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Jamani kuna wanavunja amri ya sita kama wabunge wa ccm?Mwigulu alifumaniwa?wengine wengi tunawafahamu ,ni hivi si kweli alichokisoma kwenye simu Mwigulu ni uongo ana uhakika gani na hiyo sms?zitto ni mshikaji wa mwigulu hilo tunalifahamu sana kumchamfua mbowe ni ishu ngumu tumieni akili nyingine...
  5. Nuru Ndosi

    Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Mwigulu asiyemjua nani?huo ni uongo tu ile ni sms kasoma katumiwa ana uhakika gani na hiyo sms aliiyosoma nimemwona na kumsikiliza wakati akizungumza ,huyu ni mshikaji wa zitto na alichofanya kaelekezwa na zitto ili kumchafua mbowe ila wengi wetu ni waelewa
  6. Nuru Ndosi

    Wabunge CHADEMA kuanza ziara

    Watasuthubutu kuimbia nambari wani ni ccm ,wajaribu waone kitu watanzania watawafanya 2015 mbali sana tunawaonesha 2014 kwenye chaguzi za serikali za mitaa
  7. Nuru Ndosi

    Live: Mkutano wa CHADEMA Arusha, ni kuhusu Rasimu ya Katiba

    Maoni yangu kwenye Rasimu ya katiba Wabunge wa viti maalum,wanapopitishwa kwenye vyama vyao ,baada ya vyama kuwapitisha warudi majimboni au mikoani ili kupigiwa kura na wanawake walioko ktk majimbo yao ,kwani wanapochaguliwa na vyama hawawaheshimu wanawake kwenye majimbo ,ila wakichaguliwa na...
  8. Nuru Ndosi

    Mmoja auawa kwa risasi huko Tegeta

    wapigwe tu wakikahidi na watapigwa du ingekuwa kspigwa kwenye mkutano wa Cdm ungesikia wamemua wenyewe Mh Jk mbona kasema nchi ni shwari jamaa juzi msasani kamwagiwa tindikali leo mwingine kapigwa risasi haya
  9. Nuru Ndosi

    Mazishi ya kiongozi wa CHADEMA - Judith William

    R.I.P kamanda Judy damu yako ni ukombozi wa taifa letu itawatete watoto uliowaacha
  10. Nuru Ndosi

    Juliana Shonza: Hakuna chama chenye mafisadi kama CCM

    Ilikuwa arusha kata ya kaloleni uwanja wa kampala coach kachemka namnukuhu kidumu chama cha mapinduzi wenzie wakamwitikia kidumu akaendelea hakuna chama chenye mafisadi wengi kama chama cha mapinduzi !ghafla magamba wenzie wakamshusha jukwaani wabishe tumerekodi
  11. Nuru Ndosi

    MMU nimefiwa

    Poleni Mungu awafariji
  12. Nuru Ndosi

    Mgeni wenu

    Kwa mara ya kwanza napiga hodi kwa wenyeji humu jf. Mara nyingi nimekuwa nachungulia kama mgeni lakini nimeona ni bora nijiunge pamoja nanyi ili tuchangie pamoja mawazo yetu kwa manufaa yetu sote. Naamini ya kuwa nitashirikiana nanyi kwa pamoja ili jf iende mbele vile inatakiwa kuwa. Ahsante na...
Back
Top Bottom