Ni lazima lisajiliwe hapa nchini na kupewa namba, mm niliwahi tengeneza tela la kubebea boti, hivyo nilivyoenda TRA nilitakiwa nipeleke
Risiti zote nilizonunulia material ya uundwaji wa tela
1, Risiti za c Chanel
2,Risiti za Mabati
3,Risiti za Rangi
4.Risiti Ya Matairi
5.Risiti ya Ekseli na...