Nyumba inauzwa kigamboni bei nzuri

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
3,079
2,152
Ina vyumba vitatu vya kulala (kimoja master)+
Dining choo cha jumuia na sebule kubwa

master bado hakijasakafiwa
Mahali: kigamboni geza ulole(km 11 toka ferry)

Eneo lote ni nusu eka unaweza ongeza vyumba 12
Kuna kisima cha maji na umeme
Kwa miguu dk 5 toka barabara ya lami

Bei: milion 50
Maelewano: yapo

Contact/watp: 0718295182
---------------------------
Bango

33351b207c492b25d80dcbac02b6e6d7.jpg

08b0b7cd65c3ae356b73953554c094f5.jpg
1d2c104708c9516885e6c2b65f88b958.jpg
 
Nyaraka zote

Maelewano: yapo

Contact/watp: 0718295182
---------------------------
Bango

33351b207c492b25d80dcbac02b6e6d7.jpg

08b0b7cd65c3ae356b73953554c094f5.jpg
1d2c104708c9516885e6c2b65f88b958.jpg
Weka picha ya mwonekano wa nje pia,unaposema nyaraka unamaanisha hati au mauziano kupitia serikali ya mtaa?
 
Ina vyumba vitatu vya kulala (kimoja master)+
Dining choo cha jumuia na sebule kubwa

master bado hakijasakafiwa
Mahali: kigamboni geza ulole(km 11 toka ferry)

Eneo lote ni nusu eka unaweza ongeza vyumba 12
Kuna kisima cha maji na umeme
Kwa miguu dk 5 toka barabara ya lami
Nyaraka zote

Maelewano: yapo

Contact/watp: 0718295182
---------------------------
Bango

33351b207c492b25d80dcbac02b6e6d7.jpg

08b0b7cd65c3ae356b73953554c094f5.jpg
1d2c104708c9516885e6c2b65f88b958.jpg

Unauza nyumba bila ya kuweka bei?
 
MKUU, KUWA MUWAZI.HIYO NYUMBA UNAUZA BEI GANI ? MAANA BEI UNAYOUZA HIYO NYUMBA YAKO UKIIFANYA NI SIRI,SASA ITAUZIKA VPI ? HALAFU PIA TUAMBIE KAMA WEWE NI DALALI AU NI MWENYE NYUMBA ? HALAFU PIA TUTUMIE MUONEKANO WA NJE.
 
Nilizani nimeweka bei mkuu
Ila nishaweka mi ni dalali
 
Bango jeupe kwanini usiwe professional kidogo dalali wangu, badala ya kusema mwendo wa dakika 5 toka barabara ya lami hebu weka urefu halisi interms of kilomita au mita na pia badala ya kusema robo eka hebu sema kiwanja ni mita ngapi kwa ngapi kaka
 
Nitalifanyia kazi mkuu asante sana kwa ushauri wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom