0621 047708Kigamboni mwasonga.... Uelekeo wake ni upi? Where is your contacts?
Lina hati miliki au laah? lipo umbali gani kutoka Kigamboni kivukoni?Habar wana JF,ninauza eneo la ukubwa wa ekari moja na nusu maeneo mwasonga-kigamboni. Kuna nyumba ndogo imejengwa ya chumba na sebule ambayo bado haijakamilika.bei ni maelewano.nichek pm
Hapana halina hati mdau.ni 30 km from kigambonLina hati miliki au laah? lipo umbali gani kutoka Kigamboni kivukoni?
Unapita mwasonga mjini au ni umbali gani toka Dar es salaam ZooHapana halina hati mdau.ni 30 km from kigambon
Asante, nitakutafuta soonNi pale pale mwasonga mjn,unaelekea kule mkamba a
KaribuAsante, nitakutafuta soon
Hpn hyo bei ndio nilinunulia hilo eneo na pia kuna nyumba ipo imejengwa,chumba na sebuleMimi nina. 3m vipi?
Mkuu bei yako ya mwisho ni kiasi gani?Hpn hyo bei ndio nilinunulia hilo eneo na pia kuna nyumba ipo imejengwa,chumba na sebule
6m mdauMkuu bei yako ya mwisho ni kiasi gani?
Kaka pesa ngum sana kwa sasa, shuka kidogo mkuu nipo serious6m mdau
Ahsante ,nimekuelewa.Hapana halina hati mdau.ni 30 km from kigambon