Jenga na Sisi Dragon Mabati

Dragon Mabati

Member
Jan 26, 2017
12
3
Jenga na Mabati bora na Imara kwa bei nzuri kutoka Kampuni ya DRAGON. Kiwanda kinachoongoza Tanzania kwa Ubora wenye uhakika kwa zaidi ya miaka kumi (10) sasa Sokoni.

Utapatiwa WARANTII ya miaka mitano (5) kwa muonekano ule ule wa rangi pale utakaponunua Mabati yetu.

Mabati ya Dragon yametengenezwa kwa Vipimo na Ujazo Maalum unaowezesha bati kuwa Imara na kudumu zaidi na zaidi.

Tuna Bati za aina tofauti, ipo migongo mipana IT 4 & IT 5, migongo midogo na Vigae na Gauge tofauti kama gauge 30,28 &26.

Karibu Showroom yetu iliyopo Buguruni au Kiwandani Vingunguti.

Tupo pia Mikoa ya Arusha, Mwanza, Mbeya na Dodoma.
 
Attachments

  • IMG-20170124-WA0022.jpg
    IMG-20170124-WA0022.jpg
    103.2 KB · Views: 682
  • IMG-20170124-WA0021.jpg
    IMG-20170124-WA0021.jpg
    91.3 KB · Views: 593
  • IMG-20170124-WA0013.jpg
    IMG-20170124-WA0013.jpg
    94.1 KB · Views: 570
  • IMG-20170124-WA0030.jpg
    IMG-20170124-WA0030.jpg
    67.1 KB · Views: 687
  • IMG-20170124-WA0031.jpg
    IMG-20170124-WA0031.jpg
    60 KB · Views: 580
  • IMG-20170124-WA0030.jpg
    IMG-20170124-WA0030.jpg
    67.1 KB · Views: 574
  • IMG-20170124-WA0033.jpg
    IMG-20170124-WA0033.jpg
    72 KB · Views: 689
  • IMG-20170124-WA0022.jpg
    IMG-20170124-WA0022.jpg
    103.2 KB · Views: 568
  • IMG-20170124-WA0028.jpg
    IMG-20170124-WA0028.jpg
    68.9 KB · Views: 696
  • IMG-20170124-WA0029.jpg
    IMG-20170124-WA0029.jpg
    81.5 KB · Views: 621
Jenga na Mabati bora na Imara kwa bei nzuri kutoka Kampuni ya DRAGON. Kiwanda kinachoongoza Tanzania kwa Ubora wenye uhakika kwa zaidi ya miaka kumi (10) sasa Sokoni.

Utapatiwa WARANTII ya miaka mitano (5) kwa muonekano ule ule wa rangi pale utakaponunua Mabati yetu.

Mabati ya Dragon yametengenezwa kwa Vipimo na Ujazo Maalum unaowezesha bati kuwa Imara na kudumu zaidi na zaidi.

Tuna Bati za aina tofauti, ipo migongo mipana IT 4 & IT 5, migongo midogo na Vigae na Gauge tofauti kama gauge 30,28 &26.

Karibu Showroom yetu iliyopo Buguruni au Kiwandani Vingunguti.

Tupo pia Mikoa ya Arusha, Mwanza, Mbeya na Dodoma.

Kwa Mawasiliano zaidi tupigie 0629226770
Bei ya IT 4 & IT 5 Gauge 28 Tafadhali?
 
Mabati ya migongo midogo ya gauge 30, bei ni 20,000/= kwa Bati moja la futi 10 au mita 3, bei hiyo nikwa Bati ya migongo mikubwa pia.

Utapatiwa Warantii ya miaka 5 kwa Ubora ule ule wa rangi.

0629226770 kwa mawasiliano
 
Attachments

  • IMG-20170206-WA0009.jpg
    IMG-20170206-WA0009.jpg
    77.8 KB · Views: 454
Hivi unapotoa warranty ya miaka mitano lengo huwa ni nini? Kuwa zikipauka unakuja kuezua na kupaua zingine, vipi kuhusu mbao zangu na misumali? Wakati unapaua mimi nakaa wapi na familia?
Kiukweli sioni mantiki ya kampuni kutoa warrant kwa vitu kama mabati.
 
Bidhaa zetu zina ubora wa hali ya juu na Imara, na ndiyo maana tunatoa warantii ya miaka 5 kukuhakikishia ubora wa bidhaa zetu.
 
Gauge 30 ni 10,000/= kwa mita 1
Gauge 28 ni 12,000/= kwa mita 1
Gauge 26 ni 13,500/= kwa mita 1

Karibuni wadau
0629226770 mawasiliano
 
Attachments

  • IMG-20170316-WA0001.jpg
    IMG-20170316-WA0001.jpg
    103.6 KB · Views: 462
  • IMG-20170225-WA0003.jpg
    IMG-20170225-WA0003.jpg
    72 KB · Views: 450
  • IMG-20170225-WA0005.jpg
    IMG-20170225-WA0005.jpg
    67.3 KB · Views: 450
Gauge 28, 13,5000/= kwa mita 1(futi 3)
0629-226770 mawasiliano
 
Attachments

  • IMG-20170911-WA0026.jpg
    IMG-20170911-WA0026.jpg
    115.7 KB · Views: 314
  • IMG-20170911-WA0027.jpg
    IMG-20170911-WA0027.jpg
    76.1 KB · Views: 294
  • IMG-20170911-WA0025.jpg
    IMG-20170911-WA0025.jpg
    63.6 KB · Views: 296
  • IMG-20170911-WA0024.jpg
    IMG-20170911-WA0024.jpg
    82.4 KB · Views: 307
  • IMG-20170911-WA0020.jpg
    IMG-20170911-WA0020.jpg
    52.4 KB · Views: 296

Similar Discussions

Back
Top Bottom