Ni vigumu sana kupanga kitu na kikaenda kama kilivyopangwa;
1. Mfano wengi wanaishi na wenza ambao hata hawajawahi kuwawaza, pili walio wengi pia tunaishi kwa plan 2. Baada ya ile ya kwanza kushindikana hususani katika maisha na elimu.
Pia binadamu wote tuna makosa sijaona hata mmoja anaeleza...
Kila anaetafuta mke au mume anasema awe na kazi ya kuajiriwa au mfanya biashara. Swali una uhakika ubavu wako anafanya kazi au biashara.
kwasababu kinacho olewa ni shughuli ya mtu na sio mke au mume. Pili siku shughuli hiyo ikitoweka itakuwaje, mwambie Mungu akupe abavu wako bila kujua kazi...
Natafuta mke kuanzia miaka 25-31, awe angalau kafika kidato cha 4 na kuendelea. Awe tayari kupima na hata kama ana m\watoto sio mbaya wasizidi 2.
Mimi ni mwanaume nina miaka 34 elimu shahada nina watoto2 alie tayari ani pm kwamaelezo zaidi.
Karibu
mbona hajitangazi ameweka waz jinsi alivyo kwamaana kwamba kama unavutiwa na maelezo hayo m pm. na hakuna kibao mahali kinaonesha mume mwema kumbe anaweza kupata hapa. ukisema kanisani ndo kuna wachawi, makahaba, majambazi sasa wapi kumbe popote mungu yupo.
kila mtu ana dukuduku lake, polen wamama na wababa wote mlia wa pekwe kwa kuachwa, kuacha kutoka na matatizo mbalimbali na au kufiwa. pia nami niliamua kukubali kuachwa kwani mwishoe ningeshindwa kulea hata watoto. mm ni mwanaume ninapoona wanaume wanawaacha wanawake wenye nia njema na maisha...
kila mtu ana dukuduku lake, polen wamama na wababa wote mlia wa pekwe kwa kuachwa, kuacha kutoka na matatizo mbalimbali na au kufiwa. pia nami niliamua kukubali kuachwa kwani mwishoe ningeshindwa kulea hata watoto. mm ni mwanaume ninapoona wanaume wanawaacha wanawake wenye nia njema na maisha...
unajua ndugu zangu watanzania ni lazima. tuangalie na kufikiri sana. msimamo wa kila mmoja kwenye katiba ni kutetea maslahi yake. nawaunga mkono wote kwa mawazo yao ila ningependa wawe na msimamo wa serikali 1. serilikali 2, inashida katika utawala, serikali 3 nan anasimamia serikali ya 3. kwan...
Namshukuru sana mungu kwa kunipa nafasi ya kuongea nanyi kwa maandishi. Mimi ni mwanaume miaka 33, nina watoto 2, elimu yangu ni chuo.
Mwaka 2004 nilianza kazi kama Mwalimu, mwaka 2005 nikaoa.
Maisha ya ndoa yalikuwa mazuri sana kwani kabla ya kuoana huwa kuna makubaliano mnafanya makubaliano...
kila mmoja ametoa mchango wake vizuri, ila kuna mambo mengi ambayo mtu anakutana nayo mwisho anaamua kwenda sehemu nyingine. ukiso jf kuanzia mwanzo unakuta kunaripo za watu wamewasiliana na kwa sasa wanaishi mume mke na watoto. mmoja anasema mtaani wapo wakali sawa kabisa kuna tofaut kubwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.