Kwa waoaji na waolewaji

Kwa waoaji na waolewaji

Pole na hongera kwa experience hiyo. Hubby alipona hiyo stroke aliyopata??

Asante , nashukuru Mungu imeshapita . Yes my dear alipona na akaamua kuvuta kitu kipya baada ya uponyaji. Thanks.
 
Una maana akaoa mke mwingine akakuacha? Damn..!!!!!

Yes dear! That's life dear . Nimeshasau honestly. But trust me , it was not easy , kama si Yesu and my family I dont know where would I be now .Thanks !
 
Kwa kawaida hakuna anayependa mabaya yamfike.....ni katika sehemu za pirika pirika za kimaisha ambapo unajikuta upo na mguu mmoja....ni katika kupambana na maisha unajikuta una mkono mmoja...au hata umebaki na kiwil wili tu.....lakini maisha lazima yaendelee kwa namna moja au nyingine kwa kuwa huo mguu au mkono au hicho kiwili wili hakiwezi kuchipua kama mchicha kwa maana kikipotea ndio kimepotea na kamwe huwezi kubadilisha huo ukweli, basi huna budi kukubali......kila mtu popote alipo ni marehemu mtarajiwa na mlemavu mtarajiwa....kwa hiyo si vyema kujiwazia mabaya kwa kuwa utajijengea hofu..................LIVE YOUR LIFE TO THE FULLEST EACH MOMENT OF YOUR TIME..............
 
umewaza mbali sana kwakuwa yote mema au mabayapo kwaajili ya binadamu mungu atusaidie
 
Please wait..................still loading
 
One day at a time, One thing at a time.

Unawaza hivyo vyoote halafu ufanyeje sasa? Hata utumie miaka mingapi kufikiri, waweza kujua lisaa limoja mbele kitatokea nini? Ndio maana tunaangalia na kusonga mbele kwamatumaini na kwa kutegemea mazuri.

Mtu akiishi kwa woga na kuwaza mabaya, atakaribisha mabaya. Akiishi kwa kufikiri na kukiri mazuri nayo yatakua sehemu yake.
wewe mtu NAKUPENDAGA basi tu nakosa ujasili leo naomba nifungukeeeeeeee
 
Waaoh!!! Nafurahi sana Sweet16 kusikia maneno mazito na mazuuri kutoka kwako. Karibu tule pensheni pole pole hapa Tz!!

Asante sana, pia karibu sana, Ni heshima kufahamu kuna mtu sweet kama wewe mahali ananipendaga. Asante saana.
:tea:

Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

wuuuuuu ushaanza kula pensheni!!!!!!!!!!!!!!!!!! basi nakupenda tu kama babu yangu hahahaaaaaaaaa iyo kula na bibi yangu tu.......love u saaaanaaaaa
 
Mkiwa kwenye uchumba yanakua ni mapenzi ila mkishaoana na kuingia kwenye ndoa yanakua ni majukumu..ndo maana ndoa nyingi zile bby..sweety..my blood pumper zinakua kwishi nehi..
 
Anytime, Karibu sana mjukuu wangu mzuuri sana Sweet16. Nikutakie sikukuu njema sana wewe na familia yako pamoja na woote uwapendao. Do keep in touch, pensheni ipo ya kutosha, Karibu saana upate baraka za Babu.

Jirani BAK pita mbali sana futi laki nane kutoka usawa wa bahari.

wuuuuuu ushaanza kula pensheni!!!!!!!!!!!!!!!!!! basi nakupenda tu kama babu yangu hahahaaaaaaaaa iyo kula na bibi yangu tu.......love u saaaanaaaaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Anytime, Karibu sana mjukuu wangu mzuuri sana Sweet16. Nikutakie sikukuu njema sana wewe na familia yako pamoja na woote uwapendao. Do keep in touch, pensheni ipo ya kutosha, Karibu saana upate baraka za Babu.

Jirani BAK pita mbali sana futi laki nane kutoka usawa wa bahari.

Nimekuja mimi nilikuwa napita nikasikia BAK anatajwa nikashindwa kuvumilia,babu Tized endelea kula uzee na bibi yetu Kasinde,lol
 
Last edited by a moderator:
Wewe nawe !!! hahahahahaaa.. Bibiyenu hayupogo tena, ameenda kwa Sean wake huko majuu krashi za bongo vumbi sana., nakaribia kutangaza uchaguzi wa marudio. BAK yupo likizo kdgo.

Hekima na busara tele za Kaka yetu Tized kamwe hukosi kuziona kama wewe ni msomaji makini wa michango mbali mbali toka kwa Kaka yetu. Umetunukiwa Bro ili upate wa kula naye pensheni taratibu kwa raha zenu. Ngoja niongeze huo umbali na kufanya uwe futi milioni toka usawa wa bahari lol!!!!

Hahahahaha lol!!!! Mie mzima kabisa nakamilisha shopping ya Xmas kabla ya siku takatifu. Vipi nawe ukoje?

Nimekuja mimi nilikuwa napita nikasikia BAK anatajwa nikashindwa kuvumilia,babu Tized endelea kula uzee na bibi yetu Kasinde,lol
 
Siku ya harusi kupendeza lazima hayo mengine ni Mungu atasaidia
 
Brother BAK I am inspired. Naomba nisiongee neno zaidi ''Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action'' says you BAK

Kaka mkubwa BAK, what a song bro!!! its very beautful, I really like it. Mrembo Sweet16 ''let your hair down'' passing this song on to you ''mjukuu'' wangu.

Hekima na busara tele za Kaka yetu Tized kamwe hukosi kuziona kama wewe ni msomaji makini wa michango mbali mbali toka kwa Kaka yetu. Umetunukiwa Bro ili upate wa kula naye pensheni taratibu kwa raha zenu. Ngoja niongeze huo umbali na kufanya uwe futi milioni toka usawa wa bahari lol!!!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Wewe nawe !!! hahahahahaaa.. Bibiyenu hayupogo tena, ameenda kwa Sean wake huko majuu krashi za bongo vumbi sana., nakaribia kutangaza uchaguzi wa marudio. BAK yupo likizo kdgo.
he babu unazidiwa maujanja eh! Ndo maana hata mrejesho hunipi kumbe bibi hayupo,haya ukitangaza uchaguz mpya ndo uzingatie uliyoambiwa na mleta mada usifikiri masuti na mashela na mandafu tu,ila wewe ngoja nimute tu.......lol
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hmmmmm! lol! kwi kwi kwi kwi :msela::msela::msela:

Back
Top Bottom