Natafuta mume

Natafuta mume

naomba uwe makini dada angu humu kwenye mitandao humu.......ni sheeeeedaaaahhh
kuna wenzio walirudi hapa wanalia ni vyema ungetulia upitie thread za wanaotafuta wachumba na waliorudi kusema wamefanikiwa ni wangapi then ungeweka bandiko lao hili
Join Date : 26th August 2014
Posts : 5
Rep Power : 303
Likes Received0
Likes Given0
 
Plz ni pm nikupe namba yangu maana cyo vyema kuweka namba hapa. Niko mwanza pia
 
Duh nenda bariadi utapata wanaume weupe ila kwingine utakaaa sana!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
sifa zingine ninazo isipokuwa mm sio mrefu ni fut 5.5 na ni mkristo si mwisilamu pia nimewahi kuoa na nina watoto 2.
 
Mi naitwa Amri ni muislamu mzuri nipo mwanza naishi kiloleli nichek kwenye namba 0763703876
 
Haha aisee una moyo

28 muda sio rafiki tena kabakiza miaka miwli tu kuingia katika lilekundi lakuwa desparate, so you better do something here, jiko hilo mkuu uspoteze bahti kama unavigezo
 
Nina miaka 36 Nimezaliwa na kukulia Sokuture Mwanza, Sina mke ila nina girlfriend anaitwa Asnam. Do you think twaweza fanya kitu?
 
Last edited by a moderator:
Mbwembwe nyiiingi awe na unbo la wastani wakati wewe mwenyewe bonge kwanni usiseme unataka mnene?
 
uko wapi ubavu?
Mume muislamu,umri wake miaka 30-35.Awe mwajiriwa au shughuri yoyote inayomwingizia kipato,mrefu mwili wa wastan,kabila lolote.
Rangi yeyote ila akuwa mweupe itakuwa vema.AWE NA UPENDO WA DHATI.

Mm nina miaka 28,mwajiliwa serikalini,mrefu mnene wa wastani,mweusi,sina mtoto wala sijawahi kuolewa,kama upo serious achia namba nikupigie.
Watu wanaoishi mwanza,watapewa kipaumbele zaidi..

mume wako wa watu??
 
shida iko wapi bro...
samahani kama nimekukwaza
 
hizi bahati zingine zinanipitaje... ningekua nshapata mke mie
 
shida iko wapi bro...
samahani kama nimekukwaza

Arusha vp!!!haitakufaaa???Njoo Chuga!!nina miaka 33!!mwajiriwa na nimejiajiri pia!!!Karibu nikutoe upweke baby!!!!!Heshima ya mwanamke ni mume!!!!!You are welcome
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom