Natafuta mume mwema

pole sana dada umetumia usichana wako vibaya sana, umekuwa mtumba hutopata mchumba kwa watoto hao kwani wanaume siku hizi ni wajanja sana.
Ushur wangu afta kibabukimoja ukie tuu

Asante sana kwa ushauri,Mungu akubariki ww na kizazi chako msiwe mitumba.
 
Habari wana JF,Mimi ni mwanamke mkristo,mwenye umri wa miaka 33, ninaishi moshi lkn ni mtu wa nyanda za juu kusini,Nina watoto 2.Natafuta mchumba ambae Mungu akipenda tutakuwa mume na mke,awe na umri kuanzia miaka 35 na kuendelea,awe mwadventista msabato,mwenye hofu ya Mungu. Akiwa na watoto itakuwa vema,otherwise nyote mnakaribishwa pm.

hakuna kinachoshindikana kwa Mungu mpendwa, haijalishi hata km ungekuwa na watoto 5 Mungu anaweza kabisa ww muamini na mume utampata. Nakutakia kila la heri Mungu akujalie by mwakani uwe na huyo mume ndani ya nyumba, usivunjike moyo mwaya.
 
Asante mpendwa kwa kunitia moyo,ubarikiwe.
 
Huku JF na lugha na topic zake kuna Mungu huku kweli? Funga, omba Mungu atakukutanisha na aliyekuchagulia. Huku mhhh!!@
 
wanaume wema hatuezi kuoa mwanamke anaejiuza kwenye mitandao. huwa tunajua kabisa ni familia gani naweza kupata mke mwema mwenye maadili mazuri.kitendo chako cha kujitangaza hapa tayari ushatukosa!! humu utawapata kama hao jamaa waliokubandika mimba na kukuacha. kila la kheri dada.
 
mbona hajitangazi ameweka waz jinsi alivyo kwamaana kwamba kama unavutiwa na maelezo hayo m pm. na hakuna kibao mahali kinaonesha mume mwema kumbe anaweza kupata hapa. ukisema kanisani ndo kuna wachawi, makahaba, majambazi sasa wapi kumbe popote mungu yupo.
 
Asanteni kwa michango yenu nyote,Mungu awabariki na awape haja za mioyo yenu. huu Uzi Tafadhali usiendelee,nipm kama kuna chochote unachohitaji kujua juu yangu.
 
hakuna kinachoshindikana kwa Mungu mpendwa, haijalishi hata km ungekuwa na watoto 5 Mungu anaweza kabisa ww muamini na mume utampata. Nakutakia kila la heri Mungu akujalie by mwakani uwe na huyo mume ndani ya nyumba, usivunjike moyo mwaya.

naona wamfariji mwenzio wewe umepata?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom