Recent content by Nunc dimittis

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safari ya rais Uhuru, China yatia mkataba na kuifanya Kenya kuwa taifa la kwanza Afrika kuuza maparachichi China

    Hiyo deal ishaletwa bongo na balozo Mbelwa
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safari ya rais Uhuru, China yatia mkataba na kuifanya Kenya kuwa taifa la kwanza Afrika kuuza maparachichi China

    Hii deal ya avocado balozi Mbelwa Kairuki kashaileta bongo tayari
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyatta Amenyimwa Loan ya SGR..Reli mwisho ni naivasha, Wabongo mjitahidi hii ni fursa yenu kufika kampala

    Wana link na ya zamani(fufuafufua)
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    duh yako au copy and paste?????
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    "You are what you eat"
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    belly fat ni kitambi tu boss
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    Nimemsikia dr. wa lishe 2kg/week but nilipoenda google nikaambiwa chini zaidi nikakata tamaa. hiyo ya bombe nimeipata kwa prof swai wa diabetis
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    kiwango kinachotakiwa na mwili ambacho ukizidi umeanza faulo,mbaya zaidi faulo nila mazoezi
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    tunahitaji vyakula vyote mwilini shida ni kiasi ex.-2kgs ya nyama kwa wiki. -bia mbili ikizidi tatu,mara mbili ikizidi mara tatu kwa wiki. jeeeeeee!????? tunafata iyooooo!!!! Mbaya zaidi NO mazoezi
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    Kitambi ni NOMA pande zote
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    Mtindo wa maisha ndiyo coz, zamani watu wengi walitembea hata mijini esp. toka vituoni mwa daladala kwenda home sasa pikipiki zimeongeza problems.tumekuwa kama kitimoto bandani lazima ufule tu
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    Sitaki kujimu moja kwa moja,good ex. Ya pear body shape ni most somalis,tutsi and ethiopians. But most bantu are apple body shape sema tumebadilika kiasi kwa kuchanga
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    mmmmmmhhh!!!!!!
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    Wanawake wamegawanyika into 2,pear and apple shape
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    kwa maelezo yako wewe umejaza chini pear shape
Back
Top Bottom