Rai kwa wajumbe wampya wa mkutano mkuu wa CHADEMA:
Najua CCM watawafuata kwa lengo la kuwalubuni, jaribuni kuangalia yaliyowakuta wenzenu kwa jicho la ziada, msipoangalia mtaishia kushikwa mkono na mwenyekiti wa CCM.
Endapo mipango yote ya kiovu aliyokuwa anaipanga ZZK, Dr. Kitila na Mwigamba...