Nanunua magari yenye thamani isiyozidi milion saba

Nanunua magari yenye thamani isiyozidi milion saba

habari tena wana jamnvi. mpaka sasa nimefanikiwa kuchukua gari Mbili. Ningeomba wale wenye magari usisahau kuweka 1. Picha ya gari (reg number ionekane), 2. Bei ya gari. 3. Details muhimu (imetembea km ngapi, model gani, umeiingiza inchini) 4. Namba zako za simu.
unataka kuzipeleka wapi mkuu
 
Nisan march Inaanzia A - 3.5 Noah BGD - 6.5 maongezi yapo
 
ntunga ipo toyota raumu old model nyeusi. Ni ya mwaka 99, ya rangi nyeusi, namba ya usajili BQ.. Bei inaanzia 6.5. iko tegeta
 
Last edited by a moderator:
ntunga ipo toyota raumu old model nyeusi. Ni ya mwaka 99, ya rangi nyeusi, namba ya usajili BQ.. Bei inaanzia 6.5. iko tegeta

Chukua 4.5 milion kwangu
 
Last edited by a moderator:
kiongozi nina balooom Manuel nauza 2.5m number A . kwa sasa haliwaki lakini naweza lisukuma mpaka hapo ulipo mkuu! pia nina kobe 4x4 ntakuuzia laki 9. gari zote nimeziweka hapo kinondoni mahakamani ni pm tufanye biashara mkuu
 
Wana jamii forums, ninanunua magari kwa thamani isiyozidi milion saba (7Mil). Yeyote mwenye gari aina yoyote tuwasiliane. Namba za gari ziwe namba B au C au D.

Mwenye gari namba A nitanunua kwa thamani isiyozidi 4.5Milion kutegemea na aina ya gari na uimara wake.

Cheki hilo, auto, cc 980, 4wd, 109.7km Subaru Pleo, running, in Morogoro. Price 4.7m
 

Attachments

  • IMG_20140416_182015.jpg
    IMG_20140416_182015.jpg
    226.7 KB · Views: 551
Back
Top Bottom