Huyu ndiye Freeman Mbowe

Huyu ndiye Freeman Mbowe

ntunga

Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
16
Reaction score
9
Rai kwa wajumbe wampya wa mkutano mkuu wa CHADEMA:

Najua CCM watawafuata kwa lengo la kuwalubuni, jaribuni kuangalia yaliyowakuta wenzenu kwa jicho la ziada, msipoangalia mtaishia kushikwa mkono na mwenyekiti wa CCM.

Endapo mipango yote ya kiovu aliyokuwa anaipanga ZZK, Dr. Kitila na Mwigamba iligundulika watashindwa kukukamata wewe?

Waswahili husema kama tinga tinga limeshindwa kubomoa nyumba! vipi pikipiki itaweza?

Naombeni mnaotarajiwa kuhongwa na kurubuniwa mtafakari hayo.

CHADEMA ina secret committee ambayo hata uwe mjumbe wa mkutano mkuu hautawajua ni watu gani, inaweza kuwa hata ndugu yako akawa anakuchunguza haujua.

Na si kila aliye kwenye intellijensia ya CHADEMA yuko CHADEMA kuna wengine wako CCM.

Ninachoamini taarifa zako tu zikifika kwa mh. Mbowe unapigwa chini fasta.

Kuweni makini fanyeni kazi kwa uangalifu wa hali ya juu.
 
sioni usaliti wa Zitto na Mwigamba zaidi ya mbowe kuhofia kiti chake.
madaraka matamu na mengine ni porojo tu.

mfano mwengine ni kuhusu mbwembwe zenu kuwa mnajiweza na CUF na NCCR manunuzi ni vibaraka wa CCM zimeishia wapi? mliona madaraka matamu hamtaki kugawana. mliambiwa tangia zamani shirikianeni na wenzenu mkajiona vidume, mmeona sasa hapatoshi mmojificha kwenye ukawa.

kuweni na akili.

Rai kwa wajumbe wampya wa mkutano mkuu wa CHADEMA:

Najua CCM watawafuata kwa lengo la kuwalubuni, jaribuni kuangalia yaliyowakuta wenzenu kwa jicho la ziada; msipoangalia mtaishia kushikwa mkono na mwenyekiti wa CCM; Endapo mipango yote ya kiovu aliyokuwa anaipanga ZZK, Dr. Kitila na Mwigamba iligundulika watashindwa kukukamata wewe??????? Waswahili husema kama tinga tinga limeshindwa kubomoa nyumba! vipi pikipiki itaweza????? naombeni mnaotarajiwa kuhongwa na kurubuniwa mtafakari hayo.
Chadema ina secret committee ambayo hata uwe mjumbe wa mkutano mkuu hautawajua ni watu gani, inaweza kuwa hata ndugu yako akawa anakuchunguza haujua. Na si kila aliye kwenye intellijensia ya CDM yuko CDM kuna wengine wako CCM. Ninachoamini taarifa zako tu zikifika kwa mh. Mbowe unapigwa chini fasta. Kuweni makini fanyeni kazi kwa uangalifu wa hali ya juu.
 
Kwa taarifa nikwamba ndani ya central ommetee ya Ccm kuna mashushu wa Chadema.
Huu si utani ni ukweli mtupu.
Lifanie kazi japo sio rahisi kwa mtu wa kawaida kugundua ukweli huu.
 
sioni usaliti wa Zitto na Mwigamba zaidi ya mbowe kuhofia kiti chake.
madaraka matamu na mengine ni porojo tu.

mfano mwengine ni kuhusu mbwembwe zenu kuwa mnajiweza na CUF na NCCR manunuzi ni vibaraka wa CCM zimeishia wapi? mliona madaraka matamu hamtaki kugawana. mliambiwa tangia zamani shirikianeni na wenzenu mkajiona vidume, mmeona sasa hapatoshi mmojificha kwenye ukawa.

kuweni na akili.

ndivyo na mim ningeliandika, nakubaliana na ww 100%
 
Rai kwa wajumbe wampya wa mkutano mkuu wa CHADEMA:

Najua CCM watawafuata kwa lengo la kuwalubuni, jaribuni kuangalia yaliyowakuta wenzenu kwa jicho la ziada; msipoangalia mtaishia kushikwa mkono na mwenyekiti wa CCM; Endapo mipango yote ya kiovu aliyokuwa anaipanga ZZK, Dr. Kitila na Mwigamba iligundulika watashindwa kukukamata wewe??????? Waswahili husema kama tinga tinga limeshindwa kubomoa nyumba! vipi pikipiki itaweza????? naombeni mnaotarajiwa kuhongwa na kurubuniwa mtafakari hayo.
Chadema ina secret committee ambayo hata uwe mjumbe wa mkutano mkuu hautawajua ni watu gani, inaweza kuwa hata ndugu yako akawa anakuchunguza haujua. Na si kila aliye kwenye intellijensia ya CDM yuko CDM kuna wengine wako CCM. Ninachoamini taarifa zako tu zikifika kwa mh. Mbowe unapigwa chini fasta. Kuweni makini fanyeni kazi kwa uangalifu wa hali ya juu.

Chadema ni Mpango wa Mungu na haiwezikani Mpango wa Mungu ukashindwa na Mpango wa Mwanadamu au Shetani... It is impossible.

Hakuna atakaye weza kuiyumbisha Chadema kwa sasa hata Mbowe Mwenyewe akienda kinyume na matarajio ya Watanzania Nature inamtoa fasta.
 
Ndani ya ccm imejaa makamanda na ktk ofisi zote nyeti wapo makamanda
 
Back
Top Bottom