Fundi wa Servicing Air Condition (A.C) anahitajika

Fundi wa Servicing Air Condition (A.C) anahitajika

ntunga

Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
16
Reaction score
9
Natafuta fundi mwenye ujuzi na uzoefu wa kufanya services AIR CONDITION; malipo kila A.C moja itakuwa 10,000/= for both indoor and outdoor.
PM your number and i will call you.
 
Mpigie huyu jamaa ni mwisho wa matatizo ya hizo AC 0713230547 Anaitwa Mrisho yupo DAR.

Natafuta fundi mwenye ujuzi na uzoefu wa kufanya services AIR CONDITION; malipo kila A.C moja itakuwa 10,000/= for both indoor and outdoor.
PM your number and i will call you.
 
Mkuu huwezi kupata MTU kwa hiyo bei.Kiwango cha chini nikuservice a/c no 30,000 split units.
 
Ni check kupitia namba hii 0622001223 mm nafanya mpk cctv installation and maintanance, dishi umeme na vifaa vyote vya umeme
 
Back
Top Bottom