Recent content by Ntullinze

  1. N

    Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    I wonder, why you are so pessimistic?! Please, I'm arguing you to making a transformation with your mind and eventually your thoughts!
  2. N

  3. N

    Magufuli azidi kuwaacha mbali wapinzani wake

    Duuuh, wewe uko dunia ipi ndugu yetu! Yaani bado una mawazo ya mwaka 1 mpaka leo! Pole yako & kama una familia basi ninaionea huruma sana hiyo familia na kama bado hujawa na familia basi familia yako itakuwa na shida pamoja na taabu nyingi sana endapo utaendelea na kudumu katika hizi fikra...
  4. N

    Kifo cha upinzani baada ya Uchaguzi

    ​ccm ndio iliyozalisha rushwa na ufisadi, ni jiko linalopika na kuandaa ufisadi. Kisha leo plepole anataka kuhadaa watanzania eti ccm na magufuli hawana ufisadi anajipotezea mate na energy. Watanzania tunafahamu kila kitu. Tulimtaja jk ktk list of shame na bado polepole hakuzungumza, ccm...
  5. N

  6. N

    "Muogope kama ukoma" vs "Aatapata nje ya CCM"

    Kamwe mtu huwezi kutengeneza historia endapo tu huijui historia, bali ni wale tu wanaoijua historia ndio pekee wanaoweza kutengeneza historia. Mnamo mwaka 1967, baadhi ya mataifa ya nchi za kiarabu chini ya uongozi wa kiongozi wa taifa la Misri (Abdul Nasser), yalianzisha mkakati wakutaka...
  7. N

    Baada ya mke wangu kunisaliti sasa ndoa yangu inapita kipindi kigumu

    Kwanza napenda nikupe pole sana kwa hilo! Lakini zaidi napenda nikushauri tu kwamba hebu endelea kujadiriana na mchungaji wako kuhusiana na hili ambapo lengo ni kujenga na siyo kubomoa, manake maandiko yanasema kuwa Mungu hapendi mke na mume kuachana, nakumbuka tu kuwa ni mpango mmoja wapo wa...
  8. N

  9. N

    Rais Kikwete ndiye aliyempeleka Lowassa UKAWA

    Mmmh, sijakuelewa kabisa! Kwani kama sijakosea watu walioko vyama vya upinzani wengi wao wametokea CCM; hao kina Mbowe, Slaa, Mbatia pamoja na wengineo wote unaowajua, walikuwa CCM, na tangia waondoke CCM bado CCM haijafa. Hivyo, hebu nenda kajipange na kafikirie upya hiyo hoja yako!
  10. N

    Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Kwa ujumla mimi sielewi kabisa, lakini kwa vyovyote vile na katika mazingira yoyote yale ambayo kwa njia moja ama nyingine yatapelekea hiki kitu kuwa kweli, basi pasipo na chembe yoyote ya shaka nitakuwa nimeamini kuanzia sasa kuwa ni kweli Tanzania hatuna vyama vya upinzani bali tuna vyama...
  11. N

  12. N

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Mmmh, kama kweli hiki ulichokiandika ndicho kinachowakilisha uwezo wako wa kufikiri na pia mtazamo wako katika maisha kwenye hii karne basi nakupa pole sana. Manake watu wengi ambao uwezo wao wa kufikiri mambo uko vizuri na wana mtazamo mpya kuhusu maisha walishahama siku nyingi huko ambako wewe...
  13. N

    Madiwani Kwa Lowassa Wasusa

    Kwa kukusaidia tu ni kwamba kama nchi kuna chama cha kuijenga hii nchi basi huenda hakijasajiliwa bado lakini SIYO chadema!
  14. N

    Kweli Maisha hayana fomula, Vita ya Lowassa na Membe karibia inampatia urais Magufuli kiulaini

    Kwanza nakupa hongera na pongezi kwa udhubutu wako ambao kwa njia moja ama nyingine ndio uliopelekea wewe kuandika hicho ulichokiandika. Pamoja na hongera na pongezi zangu, pia napenda nikupe pole kwa mawazo yako ambayo kwayo bado inaonekana unaamini katika suala la "bahati"! Karne hii haina...
Back
Top Bottom