Kisigino cha Funza
Senior Member
- Jun 30, 2015
- 151
- 68
Akili yako kama avatar yako.
Zezeta wewe
Akili yako kama avatar yako.
huwasikii ila wameumia sana,roho zinawauma.mtafute mwandosya uonewalikuwa 38, mbona wengine hatusikii kelele zao huko wanapotoka mikoani....mwizi mkubwa huyo...mwambie aendelee kuchukia umaskini...wanamonduli ni matajiri maana kawatumikia kitambo sana..
Nchi haiongozwi na mafisadi hii...haturudii makosa.
Zezeta wewe
Wote tunawasubiri, karibuni chadema tuijenge nchi yetu.