Recent content by ntule

  1. ntule

    Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    [emoji23] [emoji23] [emoji39][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
  2. ntule

    Msaada: Shule ya Serikali nzuri ( Kwa O - Level) ni ipi?

    Kwani pravate nazo huwa zinajaa ,au ni hela yangu tu??
  3. ntule

    Msaada: Shule ya Serikali nzuri ( Kwa O - Level) ni ipi?

    Wadau wa Jf ,nina mtoto wa kike kamaliza darasa la saba , sasa wamempaga shule ya kata ,shule yenyewe haifanyi vizur kabisa,na mtoto wangu uwezo wake ni mzuri kiasi ,amepata wastan wa B ,kwa maana ya Eglish A Kiswahili A Hisabati B Sayansi C Study's c Kwa matokeo hayo natamani nipate shule ya...
  4. ntule

    Stay away from Bitcoin crazy

    Vipi one coin ,maana na yenyewe imepanda sana mpaka kufikia Euro 20.75 kwa leo
  5. ntule

    Lazaro Nyalandu: Nitapeleka muswada binafsi kurudisha mchakato wa katiba ya Warioba ili tupate katiba mpya

    Ameamka usingizini huyu kaka yetu ,wachaturu huwa hatulali mda mrefu ,asante kwa kujitambua
  6. ntule

    Bunge lamjibu Mbowe, ladai pesa wametuma hospitalini tarehe 20 Sept sababu hawakuwa na akaunti ya hospitali

    Tanzania yangu ,upone haraka tundu lisu ,get well soon hon tundu lisu
  7. ntule

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Pole sana lisu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. ntule

    Maumivu ya moyo....!!!

    Duuu tumia busara ya hali ya juu ,kuwa mvumilivu sana moyon mwako ,ila mwonyeshe SMS zake na mwambie afungashe zake bila kumpiga wala nn maana ,ukisema umpige utaua ,kwa mm ninavyo jua hasira za maumivu ya kugongewa mke duuu inauma sana wakuuu wangu, nimejisikia kama vile mm nimefanyiwa hivyo...
  9. ntule

    Ukumbi wa Mpira

    Asnten kama kuna nyongeza ruksa kuniongezeaa hata majina mengine
  10. ntule

    Ukumbi wa Mpira

    Nimefungua ukumbi wa kuonyesha Mechi za lingi mbalimbali duniani ,msaada wenu kwenye kuupa jina LA ukumbi ,napendekeza jina liwe LA kuvutia kwa washabiki wa mpira,,
  11. ntule

    Ukumbi

    Nimefungua ukumbi wa mpira sasa naombe ushari wa jina LA ukumbi lenye kuvutia washabiki wa mpira
Back
Top Bottom