Recent content by Ntiley

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM hawana faida yoyote kwa Taifa

    Unaugonjwa kwenye akili yako siyo bure
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Ukuta wa Mirerani ni kukumbuka Shuka wakati kumekucha

    Kila kitu lawama nyooooo!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

    Nimesubiri majibu ni vitu gani vinatakiwa ili kupiga Kazi kisasa zaidi mkuu?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mhe rais Wangu mwagilia Mkopo Kwa wote vyuo vikuu hii ni keki ya watanzania wote

    Wana jf asalaam aleikum. Naomba ujumbe huu umfikie Mhe rais wetu kipenzi naomba nikushauri kugawa keki ya Mkopo bila kubagua mtanzania Kwa rangi Yake,kipato chake,wala kabila lake. Nimekusikia Jana ukiongea Na wanafunzi wetu wa SUA binafsi sijaona sababu mahususi inayoweza kupelekea Mikopo ya...
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa haraka, moyo unauma

    Mwqnamke ni anafananishwa Na maziwa yakiingiwa Na uchafu mwaga hakuna kunywa maziwa yenye uchafu weye. We piga chini utazoea kisha tulia tafuta mwanamke mwingine umwoe usijaribu kufanya tendo kabla ya kumwoa heshima itakuwepo
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kufanya naye mapenzi ila hanielewi

    Acha uasherati nyama weee
  7. N

    JamiiForums Tanzania CEO wa Vodacom aliyeteuliwa toka Kenya anyimwa kibali na Serikali. Aambiwa wapo watanzania wa kufanya kazi hiyo

    Lakin Na watanzania mpunguze uvivu, unamkuta mtu kapewa Kazi kiroho safi lkn nenda kapate Huduma kwake ya hivyo, rushwa Nje nje , dharau Kwa wateja wake kibao! Ebu badilikeni tujenge Nchi yetu
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati mwingine wanaume tunaoa majini tunategemea tutaishi nayo kwa furaha." Mchuma janga.."

    Aliyataka mwenyewe acha ayale hayo maana hashauriki!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Pesa anazogawa Rais Magufuli kama njugu anazipata wapi? Nani kaziidhinisha?

    Kwani kagawa Zako l?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Aljazeera yachambua maandamano ya Mange, yaishangaa Serikali

    Mnajisumbua bure ndo kwanza tunazidi kuipaisha Tanzania,hakuna cha maandamano ya mange wala ya chgadema CCM yajenga Nchi
  11. N

    JamiiForums Tanzania Baraza la maaskofu KKKT mngeanza na viongozi wazinzi, walevi, wezi ndani ya kanisani letu

    Tutalifuta likizidi kufanya siasa badala ya injili waliyoitiwa
  12. N

    JamiiForums Tanzania Njia ya kurefusha uume

    Balaaa sasa hilooi
Back
Top Bottom